Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

Unaweza ukafika mahali ukafikiria Chadema kweli ni watu wenye akili timamu kabisa!!!!......au hawanazo???!!!!
 
Issue Sio Uzee...Issue ni Fikra Mpya....Mtu Kang'ang'ania Kiti toka enzi hizo.
Kipindi Cha Mkapa......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Kikwete...Ye Yupo..!
Kipindi Cha Magu.......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Samia......Ye Yupo..!
Duh Huko CDM Hakuna Mbadala.. ?
Lipumba, Mbatia, Mrema nk....nk!
 
Familia yao ilikuwa na hela kabla ya uhuru na baada ya uhuru.nyerere mwenyewe alikuwa anagongea msosi kwao kipindi hicho
Kwahiyo kumbe maisha ya watu yanaweza kuwa mazuri tu bila katiba mpya wala CCM kutoka madarakani???
 
Kwahiyo kumbe maisha ya watu yanaweza kuwa mazuri tu bila katiba mpya wala CCM kutoka madarakani???
Maisha sio kula tu,watu wanapigania haki,ile inaitwa natural justice,nyerere alisomeshwa na wazungu ila aliwatoa na akafia kwa wazungu,
 
Issue Sio Uzee...Issue ni Fikra Mpya....Mtu Kang'ang'ania Kiti toka enzi hizo.
Kipindi Cha Mkapa......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Kikwete...Ye Yupo..!
Kipindi Cha Magu.......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Samia......Ye Yupo..!
Duh Huko CDM Hakuna Mbadala.. ?
Kwa hiyo Mangula anafikra mpya..yuko toka enzi za hayati Mwalimu Nyerere!
 
Familia yao ilikuwa na hela kabla ya uhuru na baada ya uhuru.nyerere mwenyewe alikuwa anagongea msosi kwao kipindi hicho
nyerere huyu huyu mtoto wa burito au yericko wa kilimo cha nyanya na kada wa chadema!!!!
 
Lini atafungua jengo la makao makuu?!!
 
nyerere huyu huyu mtoto wa burito au yericko wa kilimo cha nyanya na kada wa chadema!!!!
Huyu huyu baada ya kuacha ualimu alipigika mbaya,hana kazi chama hakina hela na ana watoto rundo,alipitia kipindi kigumu kidogo
 
Back
Top Bottom