HAZINA YA VIONGOZI VIJANA IKO CCM PEKEE CHADEMA WANAYO HAZINA YA MACHIZI KAMA KINA MDUDE NYAGALI NA PAMBALU HAO KWELI UNAWEZA KUITA VIONGOZI?Issue Sio Uzee...Issue ni Fikra Mpya....Mtu Kang'ang'ania Kiti toka enzi hizo.
Kipindi Cha Mkapa......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Kikwete...Ye Yupo..!
Kipindi Cha Magu.......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Samia......Ye Yupo..!
Duh Huko CDM Hakuna Mbadala.. ?
ITALIWA NA WENYE MENO KINA MBOWEChama kitajengwa na wenye moyo
Endelea kutega sikioLini atafungua jengo la makao makuu?!!
Kweli kabisaHAZINA YA VIONGOZI VIJANA IKO CCM PEKEE CHADEMA WANAYO HAZINA YA MACHIZI KAMA KINA MDUDE NYAGALI NA PAMBALU HAO KWELI UNAWEZA KUITA VIONGOZI?
Pamoja na kufilisiwa na wahuni wa ccm jpm na sabaya mwamba bado anadunda tu kidigitali
Aanze kuachia Augustine Mrema kwanzaHuyu Mzee Awaachie Vijana Uenyekiti.... Kang'ang'ania Atafia hapo kitini
Hivi jiwe alivyoiba zile mil 500 za Mbowe kwenye akaunti yake alijua ndio kammaliza ?anadunda si mabosi wake wamempa ahueni
SASA HUYO MTU KAPUMZIKA ANAUWEZO WA KUKUPA MANENO YA MAANA SIYO MDUDE NYAGALI YAANI ANAONGEA UTUMBO NA MWENYEKITI ANAFURAHIA HAPO WOTE MAANA YAKE NI MAZWAZWA KUANZIA MBOWE NA VIJANA WAKE UKIWEMO NA WEWE HAPO MWENYEKITI ASIYE KEMEA UOVU NAYE NI MUOVU AU UNAWEZA KUMUITA PIMBI TU
Hivi jiwe alivyoiba zile mil 500 za Mbowe kwenye akaunti yake alijua ndio kammaliza ?
Viongozi masikini hawatakiwi kabisa , wanakuwa na roho ya kimasikini sana !