Hapa nadhani Mh alihadithiwa-
“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13,za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa,hawa ni wamama,hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu,lakini hapa ni wanaume wenye vifua,wenye silaha,wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”.Mhe.Mbowe.
Anaumwa nnye huyo Fisi wa Lumumba!Kuna kitu unaumwa
Scott Edward Adkins " I didn't see your husband in front of me rather a man against my dream"
Huyu ndio yule mwigizaji wa ile Movie yetu ya Boyka.
MHE. MBOWE
Wale Askari Magereza hawakumuona mwanamke mbele yao, Mbunge, Halima, wala Esta bali walimuona mvunjaji wa Sheria aliyekua akipaswa kushughulikiwa na wenye shughuli walikua wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaoleweka🤣🤣🤣🤣Mbona umeandika kama unakimbizwa? Tulia kisha uandike tena hapa hujaeloweka umelenga nn hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaoleweka🤣🤣🤣🤣
Muulize halaiser☝️☝️Ndiyo lugha gani HIYO?
Inaonesha umesoma ngumbaru maana uliogopa umande....pambaf na jinga Waheed....!
Muulize halaiser☝☝
Asipotangaza mbowe kuzuia mikutano kwa kigezo cha korona ! Niatarudi shule tena ya vidudu kuanza upya!Rudi shule kwanza.....Bado hueleweki!!!
leo mh mbowe mbunge wa jimbo la hai mkoani kilimanjaro na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni mh F.A mbowe. ametangaza kuanza mikutano nchi nzima kwa maana ya kanda, mkoa,wilaya,kata, kijiji mpaka mtaa ili kudai tume huru na maandarizi ya uchaguzi mkuu ujao.
katika maelezo yake mbele ya waandishi wa habari mh mbowe anesema alisikia milio ya risasi zaidi ya 15 akiwa shamba!
lakini akasema wanaume wenye vifua walimshambulia mh harima mdee bila aibu
lakini mh mbowe amesema hawezi kuliacha swara la akwilina likapita bila wauaji kuchukuliwa hatua
NAOMBA KUMUOMBA MH MBOWE YAFUATAYO.
1.Asije akatoa tamko la kuzuia mikutano kwa madai ya korona,
maana taarifa nilizozipata nikwamba anajiandaa siku ya ijuuma kutoa zuio hilo kwakuwa wakati anatoa tangazo hilo alijua pia kuna hofu ya korona
2. Wanachadema wawe makini ni mwenyekiti wao mh mbowe! Kwa siasa alizo nazo kipindi hiki tangia chama kianze kukimbiwa na wanachama, madiwani, na sasa wabunge! Kwakuwa hana hoja sera wala mpango mpya wa kisera kwa ajiri yakukijenga chama.
lakini pia namshauri mh mbowe badara ya kuhamasisha mikutano iliyozuiwa nadhani ni mda mwafaka angekuja na majibu ya ofice za chama nchi nzima, matumizi ya fedha za chama, mpasuko wa chama, na upendereo wa wabunge wa kike wawili ambao umoja wa wabunge wanawake wa upinzani wanahoji bila majibu.
wanachadema wanataka kujua mipango na mikakati ya maendereo ya chama yaliyofikiwa mpaka sasa.
mwisho....
wanachadema wanaomba siku ya tar 4 wakifanya mikutano na wakakamatwa basi wasiitishe michango maana yy ndo kaiasisi hivyo alipe kuanzia mawakiri pesa zake.
maana gharama za mawakiri napo limekuwa tundu la kupigia pesa za chama.
wahi lumumba uhesabiweleo mh mbowe mbunge wa jimbo la hai mkoani kilimanjaro na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni mh F.A mbowe. ametangaza kuanza mikutano nchi nzima kwa maana ya kanda, mkoa,wilaya,kata, kijiji mpaka mtaa ili kudai tume huru na maandarizi ya uchaguzi mkuu ujao.