leo mh mbowe mbunge wa jimbo la hai mkoani kilimanjaro na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni mh F.A mbowe. ametangaza kuanza mikutano nchi nzima kwa maana ya kanda, mkoa,wilaya,kata, kijiji mpaka mtaa ili kudai tume huru na maandarizi ya uchaguzi mkuu ujao.
katika maelezo yake mbele ya waandishi wa habari mh mbowe anesema alisikia milio ya risasi zaidi ya 15 akiwa shamba!
lakini akasema wanaume wenye vifua walimshambulia mh harima mdee bila aibu
lakini mh mbowe amesema hawezi kuliacha swara la akwilina likapita bila wauaji kuchukuliwa hatua
NAOMBA KUMUOMBA MH MBOWE YAFUATAYO.
1.Asije akatoa tamko la kuzuia mikutano kwa madai ya korona,
maana taarifa nilizozipata nikwamba anajiandaa siku ya ijuuma kutoa zuio hilo kwakuwa wakati anatoa tangazo hilo alijua pia kuna hofu ya korona
2. Wanachadema wawe makini ni mwenyekiti wao mh mbowe! Kwa siasa alizo nazo kipindi hiki tangia chama kianze kukimbiwa na wanachama, madiwani, na sasa wabunge! Kwakuwa hana hoja sera wala mpango mpya wa kisera kwa ajiri yakukijenga chama.
lakini pia namshauri mh mbowe badara ya kuhamasisha mikutano iliyozuiwa nadhani ni mda mwafaka angekuja na majibu ya ofice za chama nchi nzima, matumizi ya fedha za chama, mpasuko wa chama, na upendereo wa wabunge wa kike wawili ambao umoja wa wabunge wanawake wa upinzani wanahoji bila majibu.
wanachadema wanataka kujua mipango na mikakati ya maendereo ya chama yaliyofikiwa mpaka sasa.
mwisho....
wanachadema wanaomba siku ya tar 4 wakifanya mikutano na wakakamatwa basi wasiitishe michango maana yy ndo kaiasisi hivyo alipe kuanzia mawakiri pesa zake.
maana gharama za mawakiri napo limekuwa tundu la kupigia pesa za chama.