Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

Lugha inawanyima sana fursa vijana. Huo ni ukweli. Mbowe anaweza kuwa miyeyusho lakini hapa kaongea ukweli.
Na hili la kudororesha elimu yetu wa kulaumiwa ni Nyerere mageuzi ya mwaka 1968. Learning resources nyingi zipo kwa lugha ya kiingereza.

Kama lengo lilikua kukifanya Kiswahili kipae ingewekwa Kiswahili ni somo la lazima na mtu anapigwa penati kama ilivyo kwa Hisabati. Na ingewezekana Kisw. kuwa somo la lazima pia chuo kikuu. Namna hiyo watu wetu wangekua wazuri kwenye lugha zote 2 kwa ufasaha.
 
Wachuna wanajitoshereza hawahitaki kwenda kuombaomba nje ila sisi tunahitaji Dunia kuliko inavyotuhitaji
 
Nakubaliana na hoja zako katika muktadha mwingine wa kwanini watu wetu hawapendi kwenda nje mbali na sababu ya kutojua lugha kama alivyosema Mbowe.

Wapo watanzania wengi hata ambao wana nafasi na visomo vyao vinawaruhusu kufanya kazi nje wameacha hizo fursa kutokana na unafuu ulioueleza. Mathalani mimi nina mfano wa kaka yangu alikataa kufanya kazi Ireland sababu anasema havutiwi na mazingira ya ughaibuni. Yupo hapahapa bongo na ameridhika. Kwa kisomo chake na uwezo wake kichwani na ubobezi wa lugha angeweza kufanya kazi popote duniani. Anasafiri mara kwa mara nje, lakini hataki kufanya kazi nje.
Na inawezekana moja ya sababu ni hizo ulizoeleza hapa.

Na nina mifano ya wengi waliokataa ofa za kazi nje na kubaki hapa nyumbani.
 
Huyo bwege wenu Mbowe anawafariji yeye hana mtoto anaesoma shule za Kata, wanae Marekani. Kauli ya kizuzu na kibazazi hio no English no international linkage
 
Kuna mambo anayoyapigia chapuo Mbowe ni hovyo kabisa, kama hilo la lugha ni mojawapo. Ni kama hawezi kutumia akili kuona kutokuwepo uhusiano wa lugha na watu kukimbia nchi zao kwenda nchi zingine.
Akili yake imegota hapo, hawezi kamwe kuinasua.

Lakini siyo hivyo tu, Mbowe ni Mkenya zaidi kuliko alivyo mTanzania kimfumo; na matatizo mengi ya CHADEMA kutokoga nyoyo za waTanzania wengi linaanzia hapo.

Pamoja na hayo yote, kama panya anaweza kumkamata panya kwa sasa, hilo ndilo la mhimu zaidi kuliko hayo mengine yamhusuyo Mbowe.
 
Imenibidi niondoe 'like' niliyokuwa nimeitoa kwenye mada hii, kwa sababu maelezo ya sababu zilizotolewa za waTanzania wengi kutopenda kutoka nje ya nchi kama baadhi ya nchi ni za kipuuzi sana.

Mleta mada hakutumia muda wake vizuri kutafakari sababu mhimu zinazowafanya waTanzania wasipende kwenda nje ya nchi yao.

Ninakutahadhalisha, usinichokoze kwa kunidai nitoe sababu ninazoziona zianasababisha tatizo hilo, kwa maana zote zinailalia CCM na ubovu wake katika kuendesha nchi katika miaka ya hivi karibuni.
 
Nikiangalia mchango wako huu hapa naona hata hiyo lugha ya Kiswahili ni shida kwako.

Kwa hiyo, tatizo siyo lugha, unalo tatizo lingine, ambalo ndilo la msingi zaidi kwa kutofanikiwa kwako. Hilo tatizo linakufanya hata usitambue kuwa unalo!
 
Anakosea maana anaongea kinafiki wao kutwa wapo nje ...haya mkiwapa nchi wazungu watahamia hapa kabisa
Mbona wazungu wapo kitambo,bila hao mambo hayaendi, ndiyo maana unaona kutwa mikopo na misaada inasainiwa kutoka kwa mabeberu.
JPM pamoja nakutuaminisha kuwa tunainua uchumi kwa fedha zetu za ndani,kimya kimya alikuwa anavuta mikopo mikubwa kutoka kwa hao hao mabeberu.
 
Mtoa hoja mbona mwanao unampeleka FM- Academia kwa nini? acha uzushi ukweli ni lazima usemwe hadharani - kwa mfano hakuna mtumishi wa umma executive YOYOTE ambaye mwanaye anasoma shule za KATA aka KAYUMBA kama hupo asimame tumhesabu.

Watoto wa vigogo karibia wote wapo shule za kimataifa ambazo nyingi zinafuata mfumo wa ufundishaji wa Ulaya na Marekani na wakimaliza hapo hao wanakwea mapipa kwenda Marekani na nchi za ulaya kusoma shahada zao, msiwafanye watanzania bado ma mbumbumbu.

Mbowe upo sahihi, lugha ya kiingeleza inachangia sana hasa kwenye soko la ajira hapa nchini, hata kampuni ya kichina wataku-interview kwa lugha ya kiingeleza na si kwa kiswahili jiulize kwa nini?
 
Kwa hiyo Lugha pekee duniani ni kiingereza?Uwezo wa Watanzania wa kufikiria upo chini sana.Mbona wachina Wana technology na ni matajiri ,lakin wengi wanajua kichina?Pia wajapan.Kwa hiyo ukijua kiingereza ndio utatoboa?
 
Kwa hiyo Lugha pekee duniani ni kiingereza?Uwezo wa Watanzania wa kufikiria upo chini sana.Mbona wachina Wana technology na ni matajiri ,lakin wengi wanajua kichina?Pia wajapan.Kwa hiyo ukijua kiingereza ndio utatoboa?
We kweli kiazi endelea kutumia kichwa kama shamba la kufugia nywele. Unailinganisha hii shithole country yako na hao wachina na wajapan hujui hata kufanya comparison. Ungeanza kuilinganisha nchi yako na wanachama wenzake waliopo kwenye Commonwealth.
Kakojoe ulale.
 
Nyerere alikuwa mwoga Sana! Alifuta kiingereza ili watu wasijue kinachoendelea duniani akihisi watampindua! Tz ni ya pekee ya kipuuzi Sana iliyotawaliwa na Mwingereza lakini haitumii Kiingereza kufundishia kuanzia Nursery mpaka chuo kikuu! Mchongo alikuwa hovyo Sana. Kizuri alichofanya ni kutuunganisha tu bila ukabila, mengine ni hovyo na ccm yake ya hovyo!
 
Sisi wala ngada na msuba,miaka ya 90 tulikuwa tunazamia sana mamto huko na kiingereza hatukukijua hata.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kuishi maisha yasiyo na stress usitafute ubaya.Na mm nitakupatia tusi ili ukae vizuri .Yaan ww ni mavi sana.Tukiongea kiingereza tutapata nn?Mm najua kiingereza sana ,lakin pesa yangu nimeipata kwa njia nyingine kabisa.Sijaipata kwa kujua kiingereza .Achen umavi ,kungangania Lugha za watu.Wafundishen watoto ufundi .Naposema ufundi Kuna ufundi wa technology huko pia Kuna pesa.Na ufundi wa kila aina.Lakin mkingangania kiingereza ,sawa watajua ,ila watakuwa wapumbafu hawana kitu.
 
Mfano kidogo, vitu vingi vya kisayansi vimeandikwa kwa lugha kubwa za kimataifa, kiswahili hakuna, inabidi ujifunze hizo lugha kwa makini ili utoboe. Duniani kiingereza kinatawala, sasa wewe ni nani usijifunze? Angalia jirani zetu wanavyopeta nasi tunapeta na ujamaa wetu. Tuamke sasa tujifunze kwa bidii kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…