SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kama mtu ana PhD anasema pipo yuzdi tu dai in ze reki huu ni Utopolo kabisa.Nampinga Mbowe kwa mengi ila hili la lugha kasema ukweli. Hata kufeli kwa watoto wetu ni sababu ya kiingereza. Tunashukuru wakati wa Mkapa shule nyingi za medium zilianzishwa. Chukuwa nchi tatu za Africa Mashariki ya zamani, Watanzania tupo nyuma sana sababu ya lugha. Akija muwekezaji haangalii umetoka wapi anataka ufaulu interview. Mwisho unakuta Wakenya na Waganda wanachukiliwa wengi. Mtanzania unalalamika nini na hujui kiingereza? Basi zingatia ya Mbowe. Big up!
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app