Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaki kustaafu siasa sijachoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa mamia wanauawa lakini wakati vita inaendelea kule Qatar kuna mazungumzo namna ya kumaliza vita, Ukraine na Russia wanapigana mwaka wa pili unaisha lakini mazungumzo ya kumaliza vita yanaendelea, kwahiyo mazungumzo wakati mnapigana ni kawaida kwenye Siasa, hata wewe na Mkeo mnachuuzana, mtafakuru ni sehemu ya Ubinadamu wetu”

“Kuhusu swali kwamba kuna mvutano na Makamu wako (Lissu) anagombea Uenyekiti na kuna Mgombea mwingine na je, nitagombea?, Chama hiki hakijawahi kumnyima Mtu yoyote nafasi ya kugombea na anayesema Mbowe unagombea mwenyewe ananionea sijawahi kugombea mwenyewe wala sijawahi kumzuia Mtu kugombea”

“Kuhusu kuwa Mimi sijasema nagombea si msubiri muda useme, vitu vingine vinapikwa ndani jamani viacheni vipikwe viive, wengine wanasema Mbowe umekaa sana miaka 20, hivi miaka 20 ya kukomaa, ebu wewe jaribu kukomaa kwa miaka 20 fanya kazi yangu uone ngoma yako itakavyokuwa , wengine wanasema hata Nyerere aling’atuka, Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma, analipwa mshahara, hafungwi, hanyanga’anywi mali, anatukuzwa , anaishi nyumba za Umma, sisi wa CHADEMA wote hawa wanajitolea, wanasema Mbowe ondoka, watakaoniambia Mbowe ondoka Wanachadema hawa na Viongozi wangu hawa, tutaelewana ugomvi wa ndani yanawahusu nini!?, Mimi nashangaa mitandaoni Watu wapo nje, pilipili usioila yakuwashia nini?, ebu tuachieni CHADEMA yetu tutaipanga kwa kadri tunavyopenda ndani ya CHADEMA , kuna Watu wanatamani kuona CHADEMA tunagombana, mtasubiri sana”

“Hii ngoma nimeipiga miaka 33 non stop na sina mpango wa kuacha ngoma hii, yaani hii ngoma napigana nayo, hatutaki biashara ya kustaafu Siasa wakati uonevu unaendelea katika Taifa hili, unaniambia nikastaafu tunayoyapigania yametimia?, mnawaambia Wastaafu kwasababu unaona fulani amechoka yaani Mimi Mbowe nimechoka?, muangalieni Rais Mstaafu ana miaka mingapi na Mbowe nina miaka mingapi? — Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea Dar es salaam leo December 10,2024
 
Tulishasema huyu atafia madarakani kama Mzee Mrema
 
Lissu yeye amesemaje????
 
Duh! Kupitia haya maelezo yake, sasa ninaamini siasa kwa nchi yetu ni ajira tu, kama zilivyo ajira nyingine.
Mbowe ni milionea, mfanyabiashara nje ya Siasa.

Akiamua kukaa pembeni maisha yamwendea vizuri, ana majumba Dubai,kifupi Mbowe product ya Royal b,noble family.

Anafanya siasa kama wito.
 
Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa mamia wanauawa lakini wakati vita inaendelea kule Qatar kuna mazungumzo namna ya kumaliza vita, Ukraine na Russia wanapigana mwaka wa pili unaisha lakini mazungumzo ya kumaliza vita yanaendelea, kwahiyo mazungumzo wakati mnapigana ni kawaida kwenye Siasa, hata wewe na Mkeo mnachuuzana, mtafakuru ni sehemu ya Ubinadamu wetu”

“Kuhusu swali kwamba kuna mvutano na Makamu wako (Lissu) anagombea Uenyekiti na kuna Mgombea mwingine na je, nitagombea?, Chama hiki hakijawahi kumnyima Mtu yoyote nafasi ya kugombea na anayesema Mbowe unagombea mwenyewe ananionea sijawahi kugombea mwenyewe wala sijawahi kumzuia Mtu kugombea”

“Kuhusu kuwa Mimi sijasema nagombea si msubiri muda useme, vitu vingine vinapikwa ndani jamani viacheni vipikwe viive, wengine wanasema Mbowe umekaa sana miaka 20, hivi miaka 20 ya kukomaa, ebu wewe jaribu kukomaa kwa miaka 20 fanya kazi yangu uone ngoma yako itakavyokuwa , wengine wanasema hata Nyerere aling’atuka, Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma, analipwa mshahara, hafungwi, hanyanga’anywi mali, anatukuzwa , anaishi nyumba za Umma, sisi wa CHADEMA wote hawa wanajitolea, wanasema Mbowe ondoka, watakaoniambia Mbowe ondoka Wanachadema hawa na Viongozi wangu hawa, tutaelewana ugomvi wa ndani yanawahusu nini!?, Mimi nashangaa mitandaoni Watu wapo nje, pilipili usioila yakuwashia nini?, ebu tuachieni CHADEMA yetu tutaipanga kwa kadri tunavyopenda ndani ya CHADEMA , kuna Watu wanatamani kuona CHADEMA tunagombana, mtasubiri sana”

“Hii ngoma nimeipiga miaka 33 non stop na sina mpango wa kuacha ngoma hii, yaani hii ngoma napigana nayo, hatutaki biashara ya kustaafu Siasa wakati uonevu unaendelea katika Taifa hili, unaniambia nikastaafu tunayoyapigania yametimia?, mnawaambia Wastaafu kwasababu unaona fulani amechoka yaani Mimi Mbowe nimechoka?, muangalieni Rais Mstaafu ana miaka mingapi na Mbowe nina miaka mingapi? — Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea Dar es salaam leo December 10,2024
Mwamba wa siasa za Tanzania. Mitano tena CHADEMA
 
Bado haibadilishi ukweli. Siasa kwa Tanzania ni ajira tu kama zilivyo ajira nyingine.
Unajua kuwa Kuna wahitimu wa vyuo vikuu wengi hawana ajira?? Hivi unafikiri ni wajinga?? Kama siasa ingekuwa ajira si wangejiunga wote ili kujiajiri??🤣🤣🤣 Nimeamini kuwa KATIKA MWANGA KUNA WAJINGA WENGI WAKO GIZANI 🤣🤣🤔🤔

Samahani mkuu Naomba nikupe pongezi kwa kuchagua UJINGA pia nikuite POPOMA au BUMUNDA 🤣🤣
 
Back
Top Bottom