Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake.
Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala:
"Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida."
Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe, kila mhanga na akabakie kuwa kwenye mikono yetu iliyo salama kweli kweli.
Tumwondolee awaye yote dhana potofu ya kumtishia yeyote kuwa "kila mchuma janga atakula na wakwao."
By the way: "Janga lipi?"
Ikumbukwe hili si janga bali wajibu uliotukuka wa kuirejesha nchi kwa wananchi kutokea kwa mkoloni mweusi.
Leteni mkakati ambao utahusisha wapenda haki kuchangia kwa hali na mali jitihada hizi.
Ushindi hauko mbali.
Wingi wetu, umoja wetu na uhakika wetu wa kesho ni silaha na ngao kubwa kuliko zozote walizo nazo wao.
Ninawasilisha