- Thread starter
- #21
Ulisikia wapi mi napigania saccos? Wapumbavu katika ubora wenu
Ujinga si unajua ni mzigo kama wa kuni tu? Fikiria kwenda shule wakakusaidie kuutua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisikia wapi mi napigania saccos? Wapumbavu katika ubora wenu
Bavicha bhana!
.
Hayuko pekeake huku mmejazana mitandaoni tu
Bora avae baibui tu ieleweke.Eti wanasema, hivi na mama anaweza kuvaa zile za mabaka mabaka aanze kutufokea 🤣👇View attachment 1881432
Tua kwanza wewe zigo la upumbavuUjinga si unajua ni mzigo kama wa kuni tu? Fikiria kwenda shule wakakusaidie kuutua.
Katib mkuu (JJ Mnyika) au mhusika mwingine wape raia njia ya kuchangia gharama za mawakili.
Tua kwanza wewe zigo la upumbavu