Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

UKWELI NI KUWA HAKUNA UKWELI UTAKAOPATIKANA ...KWA MAUWAJI H HAYA HATA. KABLA YA UNCLE HAJAFA....BALI WATATUMIA. MGONGO WA DOLA KUFICHA......... NEGATIVE ZAO



KUMBUKA HATA MTU BINAFSI ANAWEZA AJIRI WATU KWA AJIRI YA UUWAJI...KUSHAMBULIA.....KUMBUKENI MAGARI YALIYOPATIKANA NA PLATE NUMBER ZA STL. STK....YAMEBEBA WAHAMIAJI HARAMUUU KUMBUKENI HILOOOOO.....
 
Mimi wala sisubiri Mwenyekiti aseme nijilinde teyari nimeshafunga CCTV za wazi na za siri nyumbani kwangu na kwenye usafiri wangu Glock Peper Spray nk. ZIko karibu sana.

HAKI ya KUISHI ni YETU SOTE NA SIO KWA WANACCM PEKEE.
Ondoa hiyo 'pepper spray', itakuondolea umakini katika kujilinda unako kuelezea hapa.

Hakikisha hiyo 'Glock' haipo mbali nawe kila mara; na yeyote usiye mfahamu akisogea hatua tatu karibu nawe bila ya sababu, mpe onyo mara moja tu, basi.
Inabidi tuishi hivyo tu sasa.
 
Sio Chadema tena?!!
 
Tunaungana na wote wenye mapenzi mema kuikataa CCM na viongozi wao.
 
Tume ya Kijaji ya Kimahakama sio serikali? Itafanya upelelezi yenyewe bila vyombo vya dola?
Ni ya serikal but operates out of circle ya laws zinavyotumika na hivi vyombo. Ni kama overwhatch, and report to president only

Namna gani wata conduct investigation, tume ina watu mle ambao ni former viongozi wa hizo taasis, na wa viongoz wa taasis nyingine
 
T
It is a mistery....

Who will uncode the code?!!
 
Ila mbowe ndo tatizo Chadema kwakweli Leo alipaswa kukabidhi suala hili mikononi mwa umaaa. Majaji hao si wateule wa Raisi?
Angeshauri tuu vyombo vya nje vije vichunguze hiyo tume ya kijaji hata Leo jioni inaundwa
Kwani Zombe alitajwa na tume gani? Siyo ya Jaji Kipenka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…