Unawezaje kukubali mtu au watu kutumia jina lako vibaya bila idhini yako?
Kila mara watekaji na wauaji wamekuwa wakijitambulisha kuwa wao ni polisi, Je, kweli ni polisi? Kama siyo kwanini polisi hawakanushi na kuwasaka wahusika?
Hata hivyo kauli za baadhi ya viongozi hasa wa............ni hatari sana kwa Taifa, mfano Spika akiwa kwenye mkutano Mbeya anasema "Mtu yoyote atakayemsema vibaya Rais, Mbunge au diwani shughulikeni naye msimuache"
Je, Watanzania zaidi ya mil 60 wote wataweza kuwasema vizuri Rais, Wabunge na Madiwani?
Hata tume ya majaji kama itakuwepo bado nina mashaka nayo coz ni wateule!
Umoja ni nguvu!