Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Sasa jeshi la polisi Lina kazi Gani lisifichue hao wauwaje wa huko chadema?Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
EongeaIla mbowe ndo tatizo Chadema kwakweli Leo alipaswa kukabidhi suala hili mikononi mwa umaaa. Majaji hao si wateule wa Raisi?
Angeshauri tuu vyombo vya nje vije vichunguze hiyo tume ya kijaji hata Leo jioni inaundwa
Umewaza kama mimi mbowe alitakiwa kusema raisi haya mauaji unahusika wewe na policeccm wako...natoa maagizo soka na wenzie ndani ya masaa 24 awe ameachiwa,cdm wakikaa kwa kuongea tu watauawa sana...huyu mama ni evil kuliko jpmIla mbowe ndo tatizo Chadema kwakweli Leo alipaswa kukabidhi suala hili mikononi mwa umaaa. Majaji hao si wateule wa Raisi?
Angeshauri tuu vyombo vya nje vije vichunguze hiyo tume ya kijaji hata Leo jioni inaundwa
Duuh 😒Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
Ki uhalisia.Embu ongeza nyama kidogo mkuu.Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
View attachment 3091813
Hii ni mipango ya,chadema.
You must be very stupid.Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
Kama sio polisi kwanini hawakamatwi?Unawezaje kukubali mtu au watu kutumia jina lako vibaya bila idhini yako?
Kila mara watekaji na wauaji wamekuwa wakijitambulisha kuwa wao ni polisi, Je, kweli ni polisi? Kama siyo kwanini polisi hawakanushi na kuwasaka wahusika?
Hata hivyo kauli za baadhi ya viongozi hasa wa............ni hatari sana kwa Taifa, mfano Spika akiwa kwenye mkutano Mbeya anasema "Mtu yoyote atakayemsema vibaya Rais, Mbunge au diwani shughulikeni naye msimuache"
Je, Watanzania zaidi ya mil 60 wote wataweza kuwasema vizuri Rais, Wabunge na Madiwani?
Hata tume ya majaji kama itakuwepo bado nina mashaka nayo coz ni wateule!
Umoja ni nguvu!
Shida ya miaka hii uchawa mwingi.Umesahau tume ya Jaji Kipenka iliyomtaja Zombe na wahuni wenzake?
Kuiisajili wanataka documents zipiMillions mbili.
Mimi sijaisajiliKuiisajili wanataka documents zipi
Ubongo wako upo matakoni weweKi uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
Kabisa kiongozi.Hapo kweli wamechemka! Wamechuma laana mbaya sana.
Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozi
Ki uhalisia tuu utekaji ni mipango ya within in chadema ili kinyamazisha Wana mapinduzi...ila. Inafanyika Kwa usiri mkubwa sana na. Kwa mgongo wa kutumia udhaifu wa Dola...ila ki ukweli ni ndani Kwa ndani wanauana maana pesa juu ya pesa na uongozh