Freeman Mbowe kapaki basi, kaamua kuwa mlinzi zaidi ya mshambuliaji

Pscl, speculations is no good story. Ungejikita ktk analysis ya political strategy ingependza zaidi. hadi kufikia miktano hiyo kuruhsiwa grudgingly bado unaamini ni kpitia hayo marushwa! yaani utawala wamefrahia miktano hiyo walokuwa wanaipinga miaka yote! yaani CCM wamwachie huru adui walokwsha mkamata na kizibiti mdomon! wamlipe hiki na kile na hata kumlipia starehe na posho mblmbl zinazomsaidia kuendesha Chama? what a joke!
mnyonge mnyongeni, lkn... Kubalini tu kuwa, pamoja na yote alopitia, hat kumchukia, Mbowe is a political strategist, ni moto wakuotea mbaaali. kubalini yaishe
 
Nimekubali yaishe.
P
 
Mataga halisi wewe katika ubora wako.
 
Kuonesha kua mwenyekiti wetu ana jambo gumu linalimsibu, juzi juz kapanda jukwaani akiwa 'njwii' na Jana kaomba radhi kauli yake ya kuwaita mama zetu 'mademu'

Namkubali mwenyekiti, ila zama zake zimeisha. Ni muda sasa wa kuwakabidhi maono watu wengine, uzuri ni kua hataondoka masikini pale kitini, tayari ameshaketi na wakubwa na kunywa nao kahawa ya thamani sana pale jumba jeupe.

Upumbuvu na ujinga ni kuwaza kutatua matatizo yale yale kwa mbinu zile zile zilizoshindwa. Tumuambie ukweli mwenyekiti muda ni ukuta.
 
Kwa hiyo ulitaka Mbowe akatukane watu jukwaani? Ulipoitwa Bungeni hukuwa na Chama. Baada ya hapo ukaanza kuwa mgombea wa CCM ukiwa unapata kura moja moja kila unapogombea, halafu kimyaaa. Why hujawa mpinzani kama unadhani ni kazi ndogo?
 
Nasubiri wenye CHADEMA waje wakushukie kama mwewe P.
 
HUyu atakuwa clone wa paskali siyo yule mchambuzi tunayemfahamu. Hii cloning imekosewa kwenye ubongo!
 
Never expected this kind of analysis from a prominent Journalist like you
 
Huyu ndio Pascal Mayalla ninaemjua mimi.

Nimemaliza.
 
Orodhesha mbinu mpya hapa watu wajifunze
 
Heshimuni maoni ya chawa wa mama
Kuna watu kuwaita Chawa wa Mama ni kama kuwatukana!. The difference between chawa na watu wengine, chawa kazi yake ni kusifu tuu!, mimi ni critical, mazuri nitasifu, mabaya nita criticise!.
P
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbowe sio kanjanja kama wewe mwenye njaa. Huyo kuzaliwa kwenye hela na anayo Jax yakushanta sio wewe njaa Kali wa Ihayabuyaga.
 
Khaaaaa!!!!msukuma una maneno ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…