Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mimi ninalaani CCM kuhodhi misaada inayotolewa na serikali na kuigawa kama vile wameitoa wao, yale ya wanafunzi wa Arusha na Gambo yatajirudia Hanang.Ila kuna watu ni kama vile wana mimba za viongozi wa chama fulani, chama chake kikifanya jambo fulani bc ataifanya hy habari kuwa kubwa lkn chama kingine kikifanya jambo hilo hilo atalaani chama hicho