Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

Ila kuna watu ni kama vile wana mimba za viongozi wa chama fulani, chama chake kikifanya jambo fulani bc ataifanya hy habari kuwa kubwa lkn chama kingine kikifanya jambo hilo hilo atalaani chama hicho
Mimi ninalaani CCM kuhodhi misaada inayotolewa na serikali na kuigawa kama vile wameitoa wao, yale ya wanafunzi wa Arusha na Gambo yatajirudia Hanang.
 
Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .

View attachment 2834571
Mungu Mkubwa. Kelele zetu zimesikika. Sio kelele kwenye DP WORLD tu watu wanakufa mko kimya. Bado na mwambieni na Mwambukusi na mwenzake Mdude wasimsahau na Askofu ( Ahahahahaha, eti Askofu) Mwamakula nao waende wawape pole wahanga wa Hanang! Madeleka atajijua. Akitaka aende, akitaka aache. Kutoka Arusha tu nae aambiwe?
 
Umerukwa na akili ?
 
Kalamba asali mwenyekiti wenu.

Na mkuu umekomaa bi mkubwa apite nyumba kwa nyumba kisa mama Ako mkwe mhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…