Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unavyotamani ofisi mpya lakini wapi haiwezekani kuhamisha ofisi za vikoba!View attachment 2869580
Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya Nchi.
Jambo la kufurahisha ni kwamba mkutano huo utafanyika kwenye Ukumbi wa kisasa kwenye makao makuu mapya na ya kisasa, Mikocheni D'Salaam.
Kaa tayari kwa ajili ya kupata Mwongozo mpya na Dira ya Taifa kwa 2024.
Wamenunua Jengo kama lile la maalimu Seif House MagomeniMakao mapya ya CHADEMA kwamba mmejenga Ofisi sasa au mmepanga jengo jipya
Swali lako ni zuri sanaMakao mapya ya CHADEMA kwamba mmejenga Ofisi sasa au mmepanga jengo jipya
Ili umpelekee mganga wako akailoge ?Tuwekee picha ya hiyo ofisi mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili umpelekee mganga wako akailoge ?
Punguza ukali wa maneno bibieMwambieni ajichunge mdomo tu ule kuufanya kama nanihii ya kuku anapomaliza kutaga.
Pole sana kwa maumivuUnavyotamani ofisi mpya lakini wapi haiwezekani kuhamisha ofisi za vikoba!
Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo umenakili ukumbi wa mikutano kwenye ofisi za Republican , USAMwambieni ajichunge mdomo tu ule kuufanya kama nanihii ya kuku anapomaliza kutaga.
Usiondoke JF kwa taarifa kamiliMikocheni sehemu niko maeneo ya Mikocheni hapa Regency Hotel, nataka nikahudhurie huu mkutano
Mwamba wa siasa za kisasaView attachment 2869580