Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

Kwa hiyo mmetufisi hoja ya kuwaambia mjenge ofisi zenu na kwamba mnakula ruzuku huku ofisi zikiwa za hovyo pale Ufipani?
 
Asante sana kwa taarifa hii, hii sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia ni ukumbi wa kisasa wenye live streaming facilities.
Tunasubiria kwa hamu.
P
 
Tuma na tu picha twa hayo makao makuu mapya tuyaone. Haya ni maendeleo pia toka Ufipa hadi Mikocheni.
 
zilipendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…