Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

Mwashambwa anatamani ata Mbowe ashikwe na Tumbo la kuhara ghafla ili asihutubie taifa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hii habari si njema kwa Lucas mwashambwa uwenda mimba yake ikahitaji ukwaju.
 
Kwanini nisiumie miaka 22 ruzuku tunapokea Act wazalendo juzi tu wameshusha kitu Cuf wanalo hekalu la buguruni tumekosa nini sisi bora hata tungefanyia kule machame!
Hii ofisini inawalaza na viatu mnataka kubwa si mtakimbilia burundi
 
naisubiri hutuba ya mwenyekiti

natumaini itakua ya unyenyekevu na staha ya hali ya juu
 
Kesho Majira ya saa Tano Asubuhi, Jumamosi Januari 13, 2024 Kamanda wa Anga na kipenzi wa Watanzania Freeman Mbowe atazungumza na Wananchi wenzake kupitia vyombo mbalimbali vya habari kutoka makao makuu mpya ya CHADEMA-Mikocheni Dar. Hii si ya kukosa

 
Waambie hao visonono wa Lumumba kuwa sasa cdm tuna ofisi ya viwango.

Tena ni mali halali ya wana cdm siyo ya dhulma kama wana kijani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…