Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.

Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.

Soma Pia:

Screenshot_2024-08-13-22-16-25-1.png

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.

Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania

Ee baba tupe habari. Au napo watakuja akina Awadhi?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.

Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.

Soma Pia:

Bilashaka mada kuu itakua ni Rushwa iliyokithiri chadema inayolalamikiwa sana na Makamu mwenyekiti taifa wa chama hicho 🐒
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.

Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.

Soma Pia:

Mabalozi wa nchi kwenda katika mkutano wa kiongozi wa chama cha upinzani ?!! Crap

Hakuna balozi atakayefanya hivyo....na ikitokea akawa zwazwa wa kihivyo basi atakuwa amevunja DIPLOMASIA na lazima afukuzwe haraka nchini......

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
RBC punguza TUI katika mboga [emoji1787][emoji1787]

Yaani Mbowe ahutubie dunia kutokea "ufipani"[emoji1787]

Leo "ufipani" kumekuwa baraza kuu la umoja wa mataifa(UN ASSEMBLY) pale NY ?!!!

Fikra hizi ni mfu....wanaohutubia mataifa ni wawakilishi wa mataifa....sasa komredi Mbowe ametumwa na dola gani kuiwakilisha ?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Nchi omba omba inawezaje kupata ujasiri wa kufukuza balozi?
 
RBC punguza TUI katika mboga [emoji1787][emoji1787]

Yaani Mbowe ahutubie dunia kutokea "ufipani"[emoji1787]

Leo "ufipani" kumekuwa baraza kuu la umoja wa mataifa(UN ASSEMBLY) pale NY ?!!!

Fikra hizi ni mfu....wanaohutubia mataifa ni wawakilishi wa mataifa....sasa komredi Mbowe ametumwa na dola gani kuiwakilisha ?!! [emoji1787][emoji1787]
Unadhalilika ukiwa wapi?
 
Diploma ya SUA ni sawa na diploma ya chuo cha DSJ
 
Back
Top Bottom