Kamati Kuu ya CHADEMA ilikuwa bado haijatoa tamko la maazimio ya robo ya mwaka ya kikao chake cha kawaida wiki iliyopita, halafu CCM wametibua pakubwa kwa kuteka wanachama wa CHADEMA 520 nchi kote Tanzania ....
Tarehe 11 Agosti 2024 Chama dola kongwe wamejipalia makaa ya moto kwa kutumia vyombo vya dola kutimiza uhalifu wao wa kisiasa lengo kudhoofisha mchakato na mfumo mzima wa uchaguzi wa haki, huru ulio wa kidemokrasia.
CCM na serikali yake ikitaka iwe ktk hali ya utulivu basi kuanzia sasa toka Siku hii ya Vijana Duniani 12 Agosti 2024 kwenda mbele Katiba mpya lazima, tume huru ya Uchaguzi lazima, Makongamano, maandamano kabla ya uchaguzi wa TAMISEMI 2024 na uchaguzi wa 2025