Habari za asubuhi wanajamvi.
Rostam Azizi amekuwa anajulikana kama "KING MAKERS "
Mitandao yote iliyowaangiza JK,na Lowasa mpaka alipokwenda CHADEMA nyuma yake ni Rostam Azizi.
Rostam Aziz amemuhakikishia Mama kuwa hakuna lolote mama atamaliza Muda wake mpaka 2030 kwa lengo la wao kuingiza mtu wao 2030.
Rostam anajinasibu kuwa na team ya chama tawala Iko upande wake ameratibu yeye mpaka Jasus kurudi Latin America na kuja kushika utendaji.
Tukumbuke pia Jasusi ni team Moja na Rostam,na Sophia Simba ambao walitengwa na mwendazake.
Team Lowasa ingalipo na inajivunia kushika uongozi wa chama na kuwadharau wastaafu ambao wanaonekana wana nguvu team msoga.
Ndo maana wamefanya fitna , Mosi kumuondoa Makonda uenezi,pili kuwaondoa Mapacha BUMBULI & MTAMA.
Kwa mbaali mabadiliko ya Jumba kuu Karibu na Saint Peter's Kanisani engineer ni huyo mbunge wa zamani Super Mogul ambaye Saa 💯 alikwenda naye ziara mbalimbali mintarafu ile ya kwa Poppe Fransisco Vatican.
Rais Samia, Rostam hana nguvu yoyote kumshinda Jakaya Mrisho kikwete.
Kikwete ni influencial figure kwa sasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.
Yeye mpaka sasa anakuwa the the remained most current outgoing president.
Mtindo wa kikwete ni WA kunyamaza kimyaaa kama hayupo, lakini kama tujuavyo kimyaa kina mshindo.
Jaribio la Mwisho la kuondoka kwa Kinana ni gumu kuliko mengine yote.
Kinana kwa sasa anakuwa mmoja ya watu ambao wanajua serikali vizuri na chama vizuri,ameshika nafasi nyeti wakati wa wa Marais wote, Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete, na wewe Mwenyewe.
Kinana sio mtu kuwa dumped kwa mtindo wa Job Yustin Ndugai.
Unahitaji zaidi mshikamano, kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu mwakani.
Rostam Azizi kwa Wakati huu hana lolote hana nguvu, ukumbuke this time (MABAKAMABAKA) na baadhi ya taasisi zinaenda kuwa neutral.
Wanasubiri wakati sahihi, ili wa sett tone sahihi.
Kama opossition watashinda ubunge na Urais itabaki kuwa hivyo no changes hakuna kubebwa mtu
Hawaridhiki na minada ya maliasili na rasilimali za Tanganyika kuuzwa kwa wajomba.
Kuwa makini na huyo Raia wa Tanzania/Iran.
ambaye watanzania hawamjui wala kumuona direct akishiriki siasa, lakini ndiye anayepiga NGOMA inayochezwa sasa nchini.
Nandagala one, kwa sasa Safarini Ukerewe.
Quote ReplyReport Edit Delete
1 of 6
Next
Last
Post reply
Attach files
Insert quotes…
Similar Discussions
Kamanda Asiyechoka
Kuelekea 2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA
Started by Kamanda Asiyechoka Sunday at 12:27 PM Replies: 17
Jukwaa la Siasa
Polisi yatoa taarifa ya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA, wawataka kufuata sheria
Started by Cute Wife Yesterday at 9:18 PM Replies: 3
Jukwaa la Siasa
Roving Journalist
Kuelekea 2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427
Started by Roving Journalist Yesterday at 3:27 AM Replies: 36
Jukwaa la Siasa
Kuelekea 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Started by Quinine Yesterday at 2:02 AM Replies: 205
Jukwaa la Siasa
Roving Journalist
Kuelekea 2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA
Started by Roving Journalist Yesterday at 4:35 AM Replies: 49
Jukwaa la Siasa
Share
Jukwaa la Siasa
Contact us Terms Privacy Policy Help
Your content Subscribed threads Subscribed forums News feed Your profile Preferences
Forums
New posts
Post thread
Back