Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ee baba tupe habari. Au napo watakuja akina Awadhi?
 
Bilashaka mada kuu itakua ni Rushwa iliyokithiri chadema inayolalamikiwa sana na Makamu mwenyekiti taifa wa chama hicho 🐒
 
Mabalozi wa nchi kwenda katika mkutano wa kiongozi wa chama cha upinzani ?!! Crap

Hakuna balozi atakayefanya hivyo....na ikitokea akawa zwazwa wa kihivyo basi atakuwa amevunja DIPLOMASIA na lazima afukuzwe haraka nchini......

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
RBC punguza TUI katika mboga [emoji1787][emoji1787]

Yaani Mbowe ahutubie dunia kutokea "ufipani"[emoji1787]

Leo "ufipani" kumekuwa baraza kuu la umoja wa mataifa(UN ASSEMBLY) pale NY ?!!!

Fikra hizi ni mfu....wanaohutubia mataifa ni wawakilishi wa mataifa....sasa komredi Mbowe ametumwa na dola gani kuiwakilisha ?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Mabalozi wa nchi kwenda katika mkutano wa kiongozi wa chama cha upinzani ?!! Crap

Hakuna balozi atakayefanya hivyo....na ikitokea akawa zwazwa wa kihivyo basi atakuwa amevunja DIPLOMASIA na lazima afukuzwe haraka nchini......

#Nchi Kwanza[emoji7]
Nchi omba omba inawezaje kupata ujasiri wa kufukuza balozi?
 
Unadhalilika ukiwa wapi?
 
Diploma ya SUA ni sawa na diploma ya chuo cha DSJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…