Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kumbe wewe ni "maimuna" wa mambo mtambuka eee?!!![emoji1787][emoji1787]Nchi omba omba inawezaje kupata ujasiri wa kufukuza balozi?
Natamba kifua mbele kwa sababu ya utulivu na amani ya nchi yetu nikiwa Kilwa....karibu "miswele" [emoji7]Unadhalilika ukiwa wapi?
Sema wewe mkuu....RBC anazidi kuwa mwepesi kifikra [emoji1787][emoji1787]Wewe sasa sio Chawa tena, umepanda cheo sasa umekuwa msukule wa Mbowe
Eti Mbowe kuongea na Dunia, nyoko kweli wewe
CHADEMA msiendelee kuwa Wajinga miaka nenda rudi, punguzeni maneno mengi anzeni kuongea kwa vitendo.Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Soma Pia:
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Bado kitambo kidogoCHADEMA msiendelee kuwa Wajinga miaka nenda rudi, punguzeni maneno mengi anzeni kuongea kwa vitendo.
"Actions speak louder than words."
Nafikiri nimeeleweka.
Tajiri ukikwepa mishale ya "SUMU" hutujia na hoja hizi:-Matusi n uchawi ndio nguzo ya masikini
Kuguswa tu Amnesty international wamejua siyo Dunia?RBC punguza TUI katika mboga [emoji1787][emoji1787]
Yaani Mbowe ahutubie dunia kutokea "ufipani"[emoji1787]
Leo "ufipani" kumekuwa baraza kuu la umoja wa mataifa(UN ASSEMBLY) pale NY ?!!!
Fikra hizi ni mfu....wanaohutubia mataifa ni wawakilishi wa mataifa....sasa komredi Mbowe ametumwa na dola gani kuiwakilisha ?!! [emoji1787][emoji1787]
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Tarehe 11 Agosti 2024 Chama dola kongwe wamejipalia makaa ya moto kwa kutumia vyombo vya dola kutimiza uhalifu wao wa kisiasa lengo kudhoofisha mchakato na mfumo mzima wa uchaguzi wa haki, huru ulio wa kidemokrasia.Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024 Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi. Taarifa yao kwa Umma hii hapa ======www.jamiiforums.com
HakikaKamati Kuu ya CHADEMA ilikuwa bado haijatoa tamko la maazimio ya robo ya mwaka ya kikao chake cha kawaida wiki iliyopita, halafu CCM wametibua pakubwa kwa kuteka wanachama wa CHADEMA 520 nchi kote Tanzania ....
Tarehe 11 Agosti 2024 Chama dola kongwe wamejipalia makaa ya moto kwa kutumia vyombo vya dola kutimiza uhalifu wao wa kisiasa lengo kudhoofisha mchakato na mfumo mzima wa uchaguzi wa haki, huru ulio wa kidemokrasia.
CCM na serikali yake ikitaka iwe ktk hali ya utulivu basi kuanzia sasa toka Siku hii ya Vijana Duniani 12 Agosti 2024 kwenda mbele Katiba mpya lazima, tume huru ya Uchaguzi lazima, Makongamano, maandamano kabla ya uchaguzi wa TAMISEMI 2024 na uchaguzi wa 2025
Unaeleweka. Lakini jaribu kutambua shida ilipo.CHADEMA msiendelee kuwa Wajinga miaka nenda rudi, punguzeni maneno mengi anzeni kuongea kwa vitendo.
"Actions speak louder than words."
Nafikiri nimeeleweka.
Huu muujiza utatokea vipi?CCM na serikali yake ikitaka iwe ktk hali ya utulivu basi kuanzia sasa toka Siku hii ya Vijana Duniani 12 Agosti 2024 kwenda mbele Katiba mpya lazima, tume huru ya Uchaguzi lazima, Makongamano, maandamano kabla ya uchaguzi wa TAMISEMI 2024 na uchaguzi wa 2025
Ataandamana na mabwana za chademaMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Soma Pia:
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
SafiMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Soma Pia:
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Amekwambia au ulimpigia simu?Mwenyekiti anaachia madaraka .?
Mkuu unaishi ulimwengu upi?Mabalozi wa nchi kwenda katika mkutano wa kiongozi wa chama cha upinzani ?!! Crap
Hakuna balozi atakayefanya hivyo....na ikitokea akawa zwazwa wa kihivyo basi atakuwa amevunja DIPLOMASIA na lazima afukuzwe haraka nchini......
#Nchi Kwanza[emoji7]
Mwamba ambaye chama chake kinaogopa na kila system.Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Soma Pia:
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
HahahaNchi omba omba inawezaje kupata ujasiri wa kufukuza balozi?
Sugu ameona Mbeya ndiyo mahali pa kufanyia mikutano ya hovyo na maandamano?Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.