Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.

Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.

Wote mnakaribishwa.

Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona.

No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe.__Freeman_Mbowe_leo_Mei_27,_202...jpg

UPDATES
========
Visasi ni kazi ya Mungu - Mbowe

Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including Covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na CCM kuendelea kutawala.
 
Mbowe ni mwanasiasa aliyekomaa tofauti na vichaa wengi hasa walio ndani ya CCM.

Kuna wanasiasa bado wanaamini ktk ukandamizaji, uonevu, kudhulumu, kubambikiza kesi na wizi.

Hawa ndio virusi wabaya na hatari ktk ustawi wa nchi yetu, Mama kipenzi chetu na Raisi wetu SSH kuwa macho na vichaa wa aina hii hasa ktk ushauri wao kwako.
 
Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na ccm kuendelea kutawala
Hamko tofauti na mafisi yaliyofuata binadamu nyuma kwa mwendo mrefu yakitegemea angalau mkono mmoja kuchomoka yapate mlo.
 
Awaambie watanzania muelekeo wa chama, what next kama Katiba Mpya inayotakiwa haitapatikana.
 
Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na ccm kuendelea kutawala
Kusamehe ni ibada ndugu yangu na tutambue kwamba hakuna mwanadamu hapa duniani aliyekamilika - Anayetaka msamaha kwa dhati ya moyo wake kabisa kabisa basi atapewa!! Samehe saba mara sabini kama Mwenyezi alivyoagiza katika vitabu vitakatifu.
 
Mbowe ana Busara sana. Kina Nasari warudi kundini. Mwendazake ameondoka na kuacha makovu mengi kwa wapinzani.
 
Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including Covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na CCM kuendelea kutawala.
Nasikia mmeshaandaa jeshi la kumjibu Mbowe likiongozwa na kina kibajaji, msukuma na jobo ndugai.
 
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.

Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.

Wote mnakaribishwa.

Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona.

link iko wapi?
 
Back
Top Bottom