Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bila shaka ulizaliwa njitiNampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na ccm kuendelea kutawala
Karibu sana Golden RoseOperesheni Haki.
Haki Sawa kwa Wote - CUF
Nitafuatilia luningani ITV kwa sababu bado niko Rombo!Karibu sana Golden Rose
Hamko tofauti na mafisi yaliyofuata binadamu nyuma kwa mwendo mrefu yakitegemea angalau mkono mmoja kuchomoka yapate mlo.Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na ccm kuendelea kutawala
Kusamehe ni ibada ndugu yangu na tutambue kwamba hakuna mwanadamu hapa duniani aliyekamilika - Anayetaka msamaha kwa dhati ya moyo wake kabisa kabisa basi atapewa!! Samehe saba mara sabini kama Mwenyezi alivyoagiza katika vitabu vitakatifu.Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na ccm kuendelea kutawala
Nasikia mmeshaandaa jeshi la kumjibu Mbowe likiongozwa na kina kibajaji, msukuma na jobo ndugai.Nampongeza Mbowe kutangaza kuwasamehe wasaliti wote including Covid 19 na kuwaita warudi kujenga chama na pia kwa uamuzi wake wa kwenda kinyume na Lisu na kukataa kushiriki uchaguzi mkuu 2025, hivyo kumpa nafasi Samia na CCM kuendelea kutawala.
link iko wapi?Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.
Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona.
Utakapomsikia Ndugayi anaweweseka ujue hotuba ya Mbowe tayari.Sitamsikiliza
Pole kakaShow itaendeshwa na DJ Mbowe