Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo, ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa.