Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Kwa hiyo kosa lake la kupelekwa mahakamani ni hizi tuhuma zako au hizo za kusafirisha madawa ya kulevya toka Pakistan?
 
Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Hivi Taifa aliloongoza aliyeamuru huyu Mdude afungwe nalo lilikuwa ni Taifa la Mungu? Tangu lini Taifa la Mungu linaongozwa na mfuasi wa Ibilisi?
 
MIMI MWENZENU NINA SWALI HUWA LINANITATIZA SANA SIJAPATA MAJIBU NA NAOMBA WA KUNISAIDIA KUNIPA JIBU. NI HIVI: KUNA KAMANDA MMOJA MATATA SANA WA ENZI HIZO ANAITWA PAULINE GEKUL. ALIHAMA CHADEMA AKAENDA CCM, AKAPEWA UBUNGE HADI UWAZIRI NA MPAKA SASA NI WAZIRI. LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE ALIYOYAPATA TOKA CCM, NIKIMWANGALIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI HUWA NAMWONA HANA FURAHA KABISA. NINI KINAMSIBU HUYU NDUGU YETU? AKIWA KWENYE PUBLIC NI KAMA KUNA KITU KINAMSUTA VILE, NA ALIPOKUWA AKIAPA KUWA WAZIRI JUZIJUZI MBELE YA MAMA SAMIA HALI ILIKUWA HIYOHIYO. NI KAMA VILE ANAONA MUDA WA KUAPA NI MREFU MNO ANAONA AMALIZE HARAKA AONDOKE ZAKE. KUNA NINI NYUMA YA HALI HII? ANATESWA NA NINI?
 
Alimtuma kugawa madawa ya kulevya kanda ya kusini akakamatwa alafu leo anajifanya kwenda kusikiliza kesi yake.
 
Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Usimuombee binasamu mwenzio mabaya maana yanaweza kukurudia wewe mwenyewe. Sawaaa?
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Ukiwa civilized educated kina mdude awakunyimi usingizi.Hana jeshi,hana silaha,hofu ya nn kwa mtu anaeojiondolea zake stress za maisha.Kama una deal na issues kelele za chura zinakunyimaje usingizi sasa.Hapo ni SAwa na kumzuia jogoo kuwika
 
Nadhani hata akisema tu madawa ayapeleke kwenye anwani fulani Ubungo au Rorya nako pia ni kusafirisha, na kupokea malipo kwa tigopesa nako pia; hata kama safari ilianzia Vwawa ikaishia Kundus nchini Pakistan huko nako ni kusafirisha. Zamani walitumia ngamia jangwani au meli baharini siku hizi ni Google. Tushukuru nji yetuTanzania ni nchi yenye katiba inayolinda raia wake na kuwapa nafasi ya kujitetea nahakamani. China au Kenya angekula risasi wakati akikamatwa.
Wangekuwa fair wangepima fingerprints za huo mzigo kama ni za mdude au aliwekewa.
 
Ukiwa civilized educated kina mdude awakunyimi usingizi.Hana jeshi,hana silaha,hofu ya nn kwa mtu anaeojiondolea zake stress za maisha.Kama una deal na issues kelele za chura zinakunyimaje usingizi sasa.Hapo ni SAwa na kumzuia jogoo kuwika
Lakini anauza madawa ya kulevya sasa
 
Na bado, kuna Sabaya, kipenzi cha ccm, mzalendo nambari moja, anateseka Kisongo, mwaka wa shuatani kwa mataga, huu!
Wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu wamesambaratika woote kupitia maombi yetu.
Wengine awapo dunia, wengine jela, wengine utumbuzi, polepole bashiru hata sijui wapo wapi.
 
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .

Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo, ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa.

View attachment 1817280
Mungu ibariki CHADEMA na watu wake wote
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Hayo ni mashtaka mapya?Maana awali tumeambiwa anakesi yakusafirisha dawa za kulevya toka Pakistan na kuyauza maeneo ya viunga vya jiji la Mlowo Mbozi.Vipi tena na tuhuma mpya?
 
Think Big,vp Kama Magufuli angeendelea kuwa hai! Tanzania ingekuwa hell fire [emoji91],Mungu ni mkubwa mno,ipo siku ktk uhai wa Magufuli ungefanyika msako wa nyumba hadi nyumba Tanzania nzima kuwasaka wafuasi wote wa CHADEMA na kuwarundika wote magerezani na wengine kuwaua wote.
Kama shetani original ana wafuasi mamilioni kwa mamilioni hapa Duniani,mnashangaa nini mtu katili Kama hayati Magufuli kupendwa na MATAGA?
Akili ya Magufuli day and night aliwaza kuangamiza wapinzani wote kwa gharama yoyote,Mungu wetu anatupenda sana Watanzania,.
Nilikuwa mmoja wa Watanzania waliokuwa wakimwomba Mungu atuondolee Magufuli.
Hatimaye Mungu alijibu maombi.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Ameni
 
Back
Top Bottom