Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani Mahakama itafafanuaAlikuwa anayasafirisha kwa ungo?
Think Big,vp Kama Magufuli angeendelea kuwa hai! Tanzania ingekuwa hell fire [emoji91],Mungu ni mkubwa mno,ipo siku ktk uhai wa Magufuli ungefanyika msako wa nyumba hadi nyumba Tanzania nzima kuwasaka wafuasi wote wa CHADEMA na kuwarundika wote magerezani na wengine kuwaua wote.Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .
View attachment 1817280
Think Big,vp Kama Magufuli angeendelea kuwa hai! Tanzania ingekuwa hell fire [emoji91],Mungu ni mkubwa mno,ipo siku ktk uhai wa Magufuli ungefanyika msako wa nyumba hadi nyumba Tanzania nzima kuwasaka wafuasi wote wa CHADEMA na kuwarundika wote magerezani na wengine kuwaua wote.
Kama shetani original ana wafuasi mamilioni kwa mamilioni hapa Duniani,mnashangaa nini mtu katili Kama hayati Magufuli kupendwa na MATAGA?
Akili ya Magufuli day and night aliwaza kuangamiza wapinzani wote kwa gharama yoyote,Mungu wetu anatupenda sana Watanzania,.
Nilikuwa mmoja wa Watanzania waliokuwa wakimwomba Mungu atuondolee Magufuli.
Hatimaye Mungu alijibu maombi.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kwani nimebisha basi mkuu , naanzaje ?Think Big,vp Kama Magufuli angeendelea kuwa hai! Tanzania ingekuwa hell fire [emoji91],Mungu ni mkubwa mno,ipo siku ktk uhai wa Magufuli ungefanyika msako wa nyumba hadi nyumba Tanzania nzima kuwasaka wafuasi wote wa CHADEMA na kuwarundika wote magerezani na wengine kuwaua wote.
Kama shetani original ana wafuasi mamilioni kwa mamilioni hapa Duniani,mnashangaa nini mtu katili Kama hayati Magufuli kupendwa na MATAGA?
Akili ya Magufuli day and night aliwaza kuangamiza wapinzani wote kwa gharama yoyote,Mungu wetu anatupenda sana Watanzania,.
Nilikuwa mmoja wa Watanzania waliokuwa wakimwomba Mungu atuondolee Magufuli.
Hatimaye Mungu alijibu maombi.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
aliuza madawa ya kulevya ?JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Stupid kweli wewe,hata shetani huwa Tunamwongelea kila siku, that doesn't mean we appreciate himJPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Mungu kwa upendo na utukufu wake alitofautisha wanadamu. Hii haina mjadala.JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Aliye mteka Mdude, na kumtengenezea kesi ya madawa, ambaye ndo aliye mpoteza Saa8 na kumfyetulia Lisu marisasi! Huyo, ambaye huwa mnaabudu, ndiye aliye mkosefu wa ustaarabu nambari moja! Hata Wewe, are you serious, Sabaya?!JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Bado unaendelea kumpigia magoti DjMwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .
View attachment 1817280
Na bado, kuna Sabaya, kipenzi cha ccm, mzalendo nambari moja, anateseka Kisongo, mwaka wa shuatani kwa mataga, huu!Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Nadhani hata akisema tu madawa ayapeleke kwenye anwani fulani Ubungo au Rorya nako pia ni kusafirisha, na kupokea malipo kwa tigopesa nako pia; hata kama safari ilianzia Vwawa ikaishia Kundus nchini Pakistan huko nako ni kusafirisha. Zamani walitumia ngamia jangwani au meli baharini siku hizi ni Google. Tushukuru nji yetuTanzania ni nchi yenye katiba inayolinda raia wake na kuwapa nafasi ya kujitetea nahakamani. China au Kenya angekula risasi wakati akikamatwa.Nadhani Mahakama itafafanua
KAMA KUNA KIPINDI MUNGU ANAJIBU KWA HARAKA NI WAKATI HUU.SUBIRI HATA KWAKO UTAONA MAJIBU FASTA.GOD IS A LIVING SUPER NATURAL CREATUREMwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .
View attachment 1817280
Muite Mtemi IsikeBado unaendelea kumpigia magoti Dj