Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Hadithi nzuri sana, kama tu, yasinge kuwa yanajulikana yaliyo nyuma ya pazia!
Kuhusu risasi, Lisu alifyatuliwa makao Makuu ya nchi bila kukutwa na madawa yoyote!
 
Kwa maombi ya watanzania kesho mdude mda Kama huu atakuwa anaungana na mamilioni ya Tanzania kwenye social media huku akifurahia ukuu wa Mungu daima
 
Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Chalamila Mungu anamuona.
Nyana nhana
Ulakafa wichaye
God will curse you
Kyala aikunguna.
 
Kama mtu mwenyewe anaitwa Mdude ataachaje kusafirisha madawa?
 
Magu fool alikua shetani
Usimfananishe shetani na vitu vya kijinga na kipumbavu.
Shetani pamoja na kumuasi MUNGU hajaweza hata kumfikia nusu magu fool.
Yule mzee alikuwa ni zaidi ya shetani, na alivyo mnafiki linabeba rozali linaingia kanisani na linapokea sacrament.
Mi nafikiri huko hukumuni inabidi wawashe moto mpya ambao ni mkali *100000000 ya moto uliopo ili achomwe huyo dikteta
 
KUWA MSTAMILIVU MAANA YAKE NINI? Kama kiongozi hawezi kuwa mstahimilivu maana yake atawamaliza watu wake maana katika hao unaowaongoza wamo VICHAA,WALEVI WA KILA AINA,MALAYA,WACHAWI,WAONGO,WANAFIKI,WATU WEMA, WEZI,WAHUJUMU UCHUMI,WACHA MUNGU,WAKIMYA,WANENAJI -NK,NK. Wote hawa ni watu wako na kama hutaki hupendi na hutaki kuwavumilia kiongozi,
 
Magufuli alikuwa hafai kanisani wala mbinguni,aendelee kusota kaburini milele na milele amina
 

Tangu anakamatwa, anashtakiwa na akiwa rumande, Mwamba Mbowe HAKUWAHI kuonekana. Kesho Mdude anahukumiwa, Mwamba Mbowe anakwenda kushuhudia kama analimwa mvua nyingi au kama ni kidogo Mwamba Mbowe akate rufaa! Viva Mbowe Viva!!!
 
Wakuu nataraji mumeamka salama popote pale mlipo, nadhani mnamfamu kijana Mdude anaekabiliwa na kesi katika mahakama ya Mbeya ikiwa leo ni siku ya hukumu yake, nawaomba tumuombee nusra ya kupata uhuru wake kiubinadamu bila kujali itikadi zetu za vyama, dini na ukanda.
 
Ushindi wako leo Mungu amekutembelea na Leo unauona mkono wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…