Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Nilitegemea Leo tutapata live update kutoka mahakamani

Naomba ufanye hivyo mkuu baadae unidai pepis big
 

Kwahiyo ukikosoa au kuandika matusi unampa mtu kesi y madawa y kulevia. Huu ni uonevu. Nakumbuka mara zote mbili alishinda kesi zote zilizohusu kukashifu utawala wa awamu y 5. Kukosoa ni haki ya mtu kikatiba. Km mmeona kwenye andiko kuna matusi basi mshitaki kwa hilo.
 
Hiyo ndiyo adhabu ya matusi?
 
Kwa hiyo hayo matusi ndio yalikuwa yanasafirisha madawa
 
Mataga wanaumia Sana siku hizi hawaoni viroba baharini,DPP akichuana makusanyo na TRA kwa kulazimisha watu kununua uhuru wao,kamatakamata ya mapolisi,Chato imekufa kibudu, intellegencia zionazo viashiria kwenye mikutano ya wapinzani pekee hazipo tena yaani raha kabisa watu wapo huru na nchi inasonga hii inawaumiza Sana Mataga.
#Mama uishi miaka mingi#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…