Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.
Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao watasubiri sana.