GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Si bora ya Mbowe yeye kaingia madarakani "majuzi" tu! Vipi chama fulani kinachojitahidi kukaa madarakani kwa namna yoyote ile, hata kwa mbinu za "guzani"?Limakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.