Pre GE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Limakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.
Ukimchukia Mbowe kwa ubinafsi na kujiona kuwa na akili kuliko wengine kwa kiasi hiki hivi je ccm utakuwa unawafanyeje asee
 
Makavu live.. Kaamua kuwatolea uvivu na ramli zao chonganishi
hhaaaa yaani wapenzi wa chadema mnashida kweli yaani mnashushuana wenyewe kwa wenyewe halafu mnafurahia uchawa ukizidi na akili huwaga zinaisha kabisa yaaani
 
Limakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.
Chukia ukiendelea kushindia mihogo na maji ya kandoro hapo nyumbani kwa shemeji yako. Utachukia sana watu mpaka akili ikae sawa
 
Yaan upinzan ili uje uwe chama tawala wapumbavu kama hawa inabid watoke kwanza ndo upinzan utapiga hatua ila kwa stail hii ya hawa wapuuz hamna popote upinzan utaenda zaid ya kufifia tu siku zinavozd kwend
Kwa stail hii mtakuwa wapiga kelele tu
Maana ata wananchi ambao inabid wawa chague wanaona mnaongozwa na walaf wa madaraka kweny vyama vyenu tu je mkiingia ikulu cndo mtataka muwe kama wafalme
 
Chadema imetoa tamko gani kuhusu uchaFUzi wa serikali za mitaa uliopita na ni hatua gani zitachukuliwa ili kuthibiti ama kuukwepa uchaFUzi wa aina hiyo?

Mfano ACT imesema itakwenda mahakamani, kuwashitaki wale wote walioharibu uchaguzi huo.

Chadema inasemaje?
 
Back
Top Bottom