Ukimchukia Mbowe kwa ubinafsi na kujiona kuwa na akili kuliko wengine kwa kiasi hiki hivi je ccm utakuwa unawafanyeje aseeLimakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.
hhaaaa yaani wapenzi wa chadema mnashida kweli yaani mnashushuana wenyewe kwa wenyewe halafu mnafurahia uchawa ukizidi na akili huwaga zinaisha kabisa yaaaniMakavu live.. Kaamua kuwatolea uvivu na ramli zao chonganishi
kwahiyo bado unataka mbowe aendelee kuwa mwenyekiti? ndiyo katiba yenu inasema hivyo?Mwl Nyerere alikuwa Kiongozi wa TANU na CCM kwa miaka mingapi ??? Tuache unafiki !
LI nini? 😆😆Limewashuka shuuuuu
Raila angalau ana akili kidogo za kisiasa na sio Mbowe!Mbowe Sawa na Raila Odinga tu😂
LI nenoLI nini? 😆😆
Lipi?LI neno
Hilo hiloLipi?
Kumkomboa Zezeta ni kazi kubwa kweli kweli.Ukimchukia Mbowe kwa ubinafsi na kujiona kuwa na akili kuliko wengine kwa kiasi hiki hivi je ccm utakuwa unawafanyeje asee
🚮Hilo hilo
Chukia ukiendelea kushindia mihogo na maji ya kandoro hapo nyumbani kwa shemeji yako. Utachukia sana watu mpaka akili ikae sawaLimakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.
Miaka 20 😂Mgaya umelewa ngedule.
Hapo sawa.Nakutumia debe la mikusu.Miaka 20 😂
Na mitoo 😄😄Hapo sawa.Nakutumia debe la mikusu.
Nyongesa itakuwa minyweho.Na mitoo 😄😄
Waenguaji wasimamizi wasaidizi na wanaowatumikiaKwa hiyo anamchamba nani? Ameanza kuzeeka vibaya