Si bora ya Mbowe yeye kaingia madarakani "majuzi" tu! Vipi chama fulani kinachojitahidi kukaa madarakani kwa namna yoyote ile, hata kwa mbinu za "guzani"?
Kweli m/kiti wetu.
Mjitahidi kuepuka majungu na umbea ili msonge mbele. Kwa taarifa yako watu wanaenda kutoa kafara ili chama life. Wengine wanapewa Hela ili wawakosanishe lakini mjitahidi Sana kuvumiliana.
Syo kuwa n akili kuliko wenzie bali ana akili kuliko mumeo na hata wewe.
Kama una akili ya nini kujificha jf, toka hadharani na wewe ujione una akili.
Ingawa najua ukileta fyuu tu unaachika