Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

Ansbert Ngurumo aliwahi kuajiriwa na Freeman kama mhariri wa gazette lake la Tanzania Daima.
 
Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na .......

Hiki kichwa hakijakaa sawa au ni mimi ndio Kiswahili kimeanza kunipa changamoto na huu Uzee? Kwaa hio hapo kuna Mtu halafu huyo mfanyabiashara ni nani sio Mtu ni Mbuzi au Kondoo?
 
Moja ya andiko lililoja hekima,busara,akili na uchambuzi uliotukuka.

Namshangaa sana Heche badala ya kuzungumza matatizo ya ajira akili yake mbovu inamtuma kumbagaza Mbowe.

Lissu anataka Mbowe afike Mahakamani utafikiri Mbowe ni house boy wake.
 
Mi naona kumtetea Yuda n rahis kuliko kumtetea Mbowe.
Yuda alibadilika mwishon ila Mbowe sijui tumpe jina gan maana n zaid ya Yuda.
Mbowe maisha yake yote alikuwa n CCM aliyevaa ngozi ya CDM.
Najiuliza aliwezaje miaka yote iyo, nagundua mwanasiasa n muigizaji hodari kushnda ata Kanumba.
 
Unamaanisha CCM wameenda kwenye siasa za mauaji wakati Mbowe alibaki kwenye siasa za mazungumzo?

Kama ndivyo, basi silioni kosa la Mbowe hapo, na wala sioni sababu ya Mbowe kushambuliwa hovyo kila mara kwa vitu vidivyokuwa na maana.
 
Huko Mbogamboga je, huwa mnakubaliana na mitazamo kinzani?

Umesahau kilichotokea kwa Ndugai, Polepole, Nchimbi, nk??
Sasa hapo ndio umejibu swali au umekubali hapo ulipo kuna tatizo!.

Anzisha uzi wa mboga tujadili ya hizo mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…