Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Haha ha, unajua huyo mshindani mkuu wenu yuko wapi?Yaani Hii in First Half CCM 3- CHEDEMA -1
Mwenzenu anakula drip ya glucose baada ya kuishiwa nguvu, pumzi na hoja. Yuko hoi, Leo Siku ya tatu kajichimbia