Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe na Halima Mdee wanavyomhujumu Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe na Halima Mdee wanavyomhujumu Tundu Lissu

Yaani Hii in First Half CCM 3- CHEDEMA -1
Haha ha, unajua huyo mshindani mkuu wenu yuko wapi?
Mwenzenu anakula drip ya glucose baada ya kuishiwa nguvu, pumzi na hoja. Yuko hoi, Leo Siku ya tatu kajichimbia
 
Lissu ni fighter, mpambanaji na mzalendo wa kweli.

Lissu mmoja ni Mi-CCM kama yote akiwamo jiwe na hata ma buku 7 wote.

Kwa nini ku misuse resources. Wabunge wanapambana majimboni. Lissu anasema na Mi-CCM.

Pilipili msizozila inakuwa vipi tena?
 
Acha kuchohea kitu ambacho hakipo...acha dawa ingie taratibu kwa watanzania...China agenda
 
Mbowe anatafuta pesa hawezi kutumia bajeti kwa jambo analojua hana chake hahahaha ..... ugomvu ndani ya chaedema unatokana na hiki kiumbe kinachozungumziwa hapa chini
1601053396998.png
 
Ha! Kumbe Ukweli huwa unauma ,Kuna watu wameumia hapa ,Sema hayo Ni Mambo ya Sirini ambayo panya wadogo wadogo hawawezi kujua , watu wa Chadema Mambo ndo hayo
 
Kwanza kabisa tukubaliane kwamba mtanange wa uchaguzi umepamba moto huku kila chama cha siasa kikijitahidi kunadi wagombea wake na kushawishi wananchi kuwachagua...
Mkuu acha kufutilia Mambo madogo kwani picha ikipigwa mtu anaongea itoka vipi ?mbona za katibu mkuu ccm za namna hii zipo nyingi tu , so jikite kwenye Mambo ya msingi mkuu
 
Magu kamute siku mbili isiwe "kidude"kimecheza bwa bwa bwa
 
Nilitaka kushangaa kwanini hii picha imeingia mtaani kumbe ni hujuma? Alafu nashangaa kwanini mwenyekiti ndugu Freeman Mbowe hahudhulii mikutano ya Mgombea urais wa chama chake?...
Unafanya mikutano mitano Kwa siku bila wasanii unahitaji jukwaa LA fiesta Kwa DJ 30?
 
Picha mtu yeyote anaweza piga kutokana na uwezo wa kamera yake acha uongo we jamaa
 
Kwanza kabisa tukubaliane kwamba mtanange wa uchaguzi umepamba moto huku kila chama cha siasa kikijitahidi kunadi wagombea wake na kushawishi wananchi kuwachagua...
Mengine siyajui Ila la ukata ndio liko wazi maana kiukweli majukwaa anayotumia mgombea wetu hayana hadhi na mbaya zaidi hata mabango yenye picha za mgombea hayapo kokote kule binafsi sijawahi ona mabango ya mgombea yeyote wa Upinzani,kila kona yamejaa ya Magu tu Hadi kwenye mataa barabarani mpaka unajiuliza Kana kwamba ni mgombea pekee.

Pamoja na propaganda lakini hili lina dalili za ukweli maana kusema ukweli wanasiasa Wana wivu,Mwenyekiti Mbowe aliamua kumsimamisha Tundu ili kukiokoa chama vinginevyo wapenzi wa Upinzani hawakuwa tayari kuona sura ya wahamiaji haramu,aliyofanya Lowasa na Sumaye yaliwaudhi Sana na kiukweli ari ya watu kupiga kura imerudi tena.
 
Kuliko Lowassa tuliyempigia deki barabara?

Viva Magu 2020 to 2030
Wanajitekenya na kucheka wenyewe lumumba.

Wanaumia sana shujaa wa Mungu Tundu Antiphas Lissu anafanya kampeni na Team ya kampeni tu alafu amewakimbiza vibayaaaaa.
Wao kuanzia mwenyekiti, katibu, mwenezi , Makamu wenyeviti wote wako kwenye kampeni alafu bado wanapelekwa mputa hadi ulimi wote nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lissu ni mwanasiasa na nusu dadeki [emoji23][emoji3][emoji3]
 
Hiyo saccos ni ya mwenyekiti na watu wake wa karibu. Yeye ndio final say wa kila kitu pale, poleni Sana mnaochangishwa usiku na mchana wakati mgombea wenu anapiga miayo kwa uchovu na njaa. Kabla hamjafikiria kutawala nchi, tawaleni kwanza hapo saccos, wekeni demokrasia hapo saccos kila kitu kiwe wazi ndio tuone mfano.

Kama unazungumzia Saccos basi utakuwa unachokoza nyuki. JPM kajimilikisha kila kitu nchi hii... Hazina imekuwa kama Saccos ya familia yake... Anaamuru.... anachota na kuongeza fedha atakavyo. Rais anatembea na mamilioni kwenye mabegi. Hili unaliona kweli? Unalizungumziaje ndugu?
 
Mwaka huu CCM wanahangaika......
Hadi huruma. Huku lissu wakigeuka hivi spana za kigogo. 😂😂😂😂😂😂
 
CHADEMA kuomba michango imezima kelele zote za shutuma za kutumiwa na mabeberu. Na wewe tena unakuja na hizi hadithi za mihayo, hauoni kuwa mnachanganya madesa?

Hayo mengine nakuachia mwenyewe.
 
Hiyo nafasi huwa inauzwa na Lisu hana fedha za kuinunua ishu ya risasi tu ndio imembeba otherwise yule jamaa wa Wazalendo angeiununua na ndio maana mwenyekiti anakuwa mkali kweli akiombwa hela za kampeni , yeye ameshazoea kuzivuta tu na sio kuzitoa.
 
Nasubiri tu mazishi ya Chadema 28 oct [emoji1][emoji1][emoji1]
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Back
Top Bottom