Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Enzi za vimobitel. Unategesha alarm ukiwa kwenye kadamnasi ya watu halafu unapokea haloo kwa sauti kubwa.
Unaweza ukahisi utani ila hii kitu nishafanya sana. Nikatega alarm kama dakika tano mbele nilijua ndani ya muda huo lazima nitakuwa nimefika usawa wa yule binti, naam nilipofika tu hata sekunde thelathin hazikupita kudadeki kitu griiiiii.... griiiii... hapo kilikuwa kinaning'inia shingoni, nikakivua nikakata alarm halafu nikapeleka sikioni...
"Hallow... eeh nimetoka kidogo... narudi sasa hivi... haya nakuja" halafu nikafanya kama nakata kisha nikairudisha Simens mayai shingoni. Nikamcheki binti nikiwa serious sana..
"Mambo..."
"Poaaaa" huku anatabasamu... hahahaha alikuwa anaitwa Prisca Mbilinyi
 
Hahahah mkuu umenichekesha sana
 
Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.

Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Ila ndio hivyo mtoto wa Shamba kachukua nchi na kuharibu kabisa mikakati ya mtoto wa mjini sasa hv anahaha hajui ashike wapi...tih tih [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] Ila simshangai watoto wa mjini wengi wanapenda shortcuts akamchukua EL ili abet Bahati mbaya akaliwa
 
Picha kwa hisani ya Ukurasa wa Watanzania Mashuhuri, Facebook... Muwe mnasema!
 
Hizo ndio kazi ambazo mbowe ni mahiri,sio kuogoza chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…