Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
na yule aliyezaa na shemeji yake vipi? mnamuona mbowe tuMakubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na yule aliyezaa na shemeji yake vipi? mnamuona mbowe tuMakubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
Hakupenda kuzaliwa na kengeza, huo wizi unaushahidi?Kengeza jizi zinzi
Angalau ana uwezo wa kuzalisha wanawakeAnao kengeza zinzi
usitukane mamba kabla hujavuka mto unaweza kupofuka macho yote yeye akaendelea kudundika na kengeza lakeKengeza jizi zinzi
Hata yeye au wewe au babar yako wanaweza kupofuka pia, au unafikiri kuwa na kengeza ni kinga ya upofu. Nyumbxusitukane mamba kabla hujavuka mto unaweza kupofuka macho yote yeye akaendelea kudundika na kengeza lake
shubamiiiit
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.
Huo ni Ushaluwadu.ndiyo maana baada ya matokeo mbowe alikimbia pale Hai kumbe alikuwa na mchakato wa kwenda kutengeneza cheti bandia
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Wananchi yanatuhusu. Utumiaji mbaya wa madara. Wako wanachama wa CHADEMA wanapigania Chama Chao lakini huyu anapata Ubunge kwam njia ya rushwa ya Ngono. Kwa kweli upinzani Tanzania baaado saana! Kifupi hatuna Chama cha Upinzani!Hayatuhusu!
Hayo siyo mambo binafsi. Ingekuwa mambo binafisi endapo huyo bi dada asingepewa Ubunge kwa rushwa ya ngono! Kodi zetu zinapotea bure kwa Mbunge asiye na tija!MAMBO BINAFSI HAYO MKUU YANATUHUSU NINI SASA
Mpumbavu nambari one kabisaa wewe.Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.
William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.
Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
View attachment 211710
View attachment 211711
View attachment 211713
View attachment 211714
Ana majukumu makubwa kitaifa anastahili kupumzika vizur piaMakubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana