digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is too personal, weka na marosoroso ya Jiwe twende sawaKatika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.
William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.
Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
View attachment 211710
View attachment 211711
View attachment 211713
View attachment 211714
Kawaida kwa mwanaumeDuuuu! Jamaa anapenda wanawake! Sasa akipewa nchi wake zetu tutawaficha wapi? Halafu hawa viti maalum mbona nao wanakuwaga wepesi2? Yaani hata kazi yao sijui huwa ni nini huko bungeni! Ndiyo kama mwenye jimbo yupo yeye ana kazi gani sasa? Nchi za kiafrika bana eti viti maalum! Kila siku kashfa wenyewe tu!
Mkuu.. watu tumeshazika na kusahau kabisa msiba huu, sasa inakuaje leo unakuja kufukua kaburi la zaidi ya miaka 12? 🤣🤣🤣Mamaee