Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Biblia inasema wazi:- Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe...huyu aliyeshikwa kwenye zinaa. (Yn 8:7). Je,wewe unayemtupia mawe Mbowe kwamba ni mzinzi 'sa-a-ana', hujawahi kuzini?
 
mmeanza tena kufukunyua nyuzi za siku za nyuma!!!
 
usitukane mamba kabla hujavuka mto unaweza kupofuka macho yote yeye akaendelea kudundika na kengeza lake

shubamiiiit
Hata yeye au wewe au babar yako wanaweza kupofuka pia, au unafikiri kuwa na kengeza ni kinga ya upofu. Nyumbx
 
Hayatuhusu!
Wananchi yanatuhusu. Utumiaji mbaya wa madara. Wako wanachama wa CHADEMA wanapigania Chama Chao lakini huyu anapata Ubunge kwam njia ya rushwa ya Ngono. Kwa kweli upinzani Tanzania baaado saana! Kifupi hatuna Chama cha Upinzani!
 
MAMBO BINAFSI HAYO MKUU YANATUHUSU NINI SASA
Hayo siyo mambo binafsi. Ingekuwa mambo binafisi endapo huyo bi dada asingepewa Ubunge kwa rushwa ya ngono! Kodi zetu zinapotea bure kwa Mbunge asiye na tija!
 
Mpumbavu nambari one kabisaa wewe.
 
Aisee ukiishi kuishi maisha ya siasa basi be ready for anything.
 
Zikitolewa nyaraka za yule aliyekosa staha mpaka kufikia kuzaa na shemejie msilalame kuhusu faragha!

Eitherway uasherati sio mzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…