Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

acha wivu mbona wewe unaliwa kavu huoni hatari

Mkuu unapoteza muda kunitukana! Ushahidi unaonesha hapo Mwenyekiti hakujali kinga wakati akiwa mchepukoni!
 
...

....Babu seya aligegeda kitu kilicho sahaulika mfungulieni minyororo kwa kuwa alisaidia tu !!!
 
Mkuu ushahidi unaonesha Mwenyekiti alikataa kata kata kutumia kinga wakati anajua kabisa hatari na anajua sheria za michepuko! Inatoa machozi!

Siasa za ccm zimehamia huku sasa nimeamini ccm kwisha.....
 
akili za kuambiwa changanya na za mumeo leta ushahidi acha porojo
Anza wewe kuleta ushahidi zaidi ya ule uliotolewa na vitoto hivi hadi ukakubaliwa mahakama za juu kabisa za nchi hii.
 
akili za kuambiwa changanya na za mumeo leta ushahidi acha porojo

wewe ndio uache porojo nenda kasome mwenendo wa case yake na ushahidi ulio wasilishwa mahakamani kwa alicho kifanya! nina uhakika ungekuwa umesoma hule ushahidi na mwenendo wa case usinge mtetea yule mbakaji na alistahili kunyongwa kabisa yeye na papii kocha!
 
Anza wewe kuleta ushahidi zaidi ya ule uliotolewa na vitoto hivi hadi ukakubaliwa mahakama za juu kabisa za nchi hii.
huku ni kuishiwa hoja wewe ndo unatakiwa kuleta ushahidi wa wale watoto kubakwa au wewe ulibakwa mimi siamini kama wale watoto walibakwa
 
mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu mtu hao wengine ni watu dhaifu wana dhambi na makosa kama wewe .
 
hapo nimejifunza kuwa mbowe anaishi maisha ya kawaida ya mtanzania kuliko viongozi wetu wa CCM, maana kama mtoto wake alizaliwa hospital ya umma ya mwananyamala then anastaili pongezi nyingi. Mkuu wa kaya kaacha hospiatl ya jirani kabisa na nyumbani kwake, kaenda kutibu canser marekani, maana yake ocean road ni sifuri kama hawawezi kutibu hata tez dume. Just looking it at other angle.
 
Yani kama Vick kamata na naniliu,yule nani vile?
zitto na mzazi mwenziye.
Sema hawa wanakubaliana kwa dhati,sio Kapuya wa maccm anabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…