Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Vijana wa mashetani wa rumbesa na magunia hawana akili kabisa ccm ni wezi na wezi watabaki kuwa wezi na vijana wa ccm ni matahira fresh na watabaki hivyo milele !

hata wanaoiba wake za watu nao huitwa wezi?
 
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.

Kwani kwakumtumia mtu mwingne kupata cheti cha mwanae anakuwa kakiuka kifungu gan cha sheria ktk katiba ya JMT. Ulishawah kuhoji kama babaako alimtafta mamaako mwenyewe au alitaftiwa? Achen kufatilia maisha ya ndan ya watu.
 
Tujiulize kwa nini Wamarekani na Waingereza ni wakali sana kwa masuala ya nyumba ndogo kama hizi kwa viongozi na mastaa wao. Usafi na uadilifu huanzia kwenye maisha binafsi ya mtu/kiongozi.

Sifa nyingine kubwa za wazinzi ni UONGO kuanzia ngazi ya familia, wizi na ulaji rushwa ili aweze kugharamia upuuzi huu.
 
Hivi ccm mmerogwa na nani?!! Yaani badala ya kufuatilia mambo yenye tija kwa taifa mnaishia kuleta umbea wa kike kuhusu maisha binafsi ya watu? Very stupidity indeed.
wana homa za kushindwa na UKAWA uchaguzi wa serikali za mitaa mkuu
 
CHAGGADEMA Wote Uzinzi Kwenda Mbele Mwenyekiti, Katibu Mkuu Balaa, Hamkuwahi Kuwa WAAMINIFU Kwa Familia Zenu Mtakuwa WAAMINIFU kwa TAIFA Watu Baki na VIAPO VYA NDOA???
NDIO Dominique Strauss Khan aliachishwa IMF, Bill Clinton Almanusra kwa Monica Lewinsky , Tiger Woods Wadhamini WOTE TUPA Kule!, SARKOZY Hoi, John Terry Unaodha Ukatupwa , JENERALI DAN PETRAUS WA CIA Kibarua KULE
Hawakusema ni Mambo Binafsi Au Hayatuhusu!!!!!
Usipokuwa Muaminifu kwa Machache Mengi HUWEZIIIIIIII.
Mwili tu Unakutoa ROHO je Nchi ilivyojaa Mapesa, Dhahabu NK NK????
 
Huyo mtoto ni ushahidi wa wazi kuwa walifanya bila kutumia kondomu.Swali la kuuliza je hawajambukizana ukimwi au walipima kabla ya kufanya pekupeku?

Kama hawakupimwa namhurumia mke wa ndoa wa Mbowe.EE mwenyezi Mungu mnusuru na maradhi.

Ni hatari sana mtu kwenda kwa mchepuko bila kuvaa viatu daaa!
Mke wake atakuwa anasoma uzi huu na machozi yanamtoka!
 
Tujiulize kwa Wamarekani na Waingereza ni wakali sana kwa masuala ya nyumba ndogo kama hizi kwa viongozi na mastaa wao. Usafi na uadilifu huanzia kwenye maisha binafsi ya mtu/kiongozi.

Sifa nyingine kubwa za wazinzi ni UONGO kuanzia ngazi ya familia, wizi na ulaji rushwa ili aweze kugharamia upuuzi huu.
umeandika ukweli mkuu Babu Seya yupo gerezani kwa kosa gani
 
Kwani kwakumtumia mtu mwingne kupata cheti cha mwanae anakuwa kakiuka kifungu gan cha sheria ktk katiba ya JMT. Ulishawah kuhoji kama babaako alimtafta mamaako mwenyewe au alitaftiwa? Achen kufatilia maisha ya ndan ya watu.

Mkuu mtoa mada hakuna sehemu aliyosema kuna sheria imevunjwa bali ametujuza mwenendo na maendeleo ya Mtoto wa mwenyekiti wetu wa chama!
 
2Q==
 
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685View attachment 211687
hizi karatasi ni uchafu wa kufungia maandazi mpeleke mkeo zitamsaidia kufungia wateja maandazi
 
wewe unakuwa na yule malaya mwenzako mnatumiaga

Mkuu ushahidi unaonesha Mwenyekiti alikataa kata kata kutumia kinga wakati anajua kabisa hatari na anajua sheria za michepuko! Inatoa machozi!
 
umeandika ukweli mkuu Babu Seya yupo gerezani kwa kosa gani
Yule Mcongo ni mshenzi kwelikweli. Alilawiti na kuharibu vitoto vidogo pale Sinza we acha tu.

Mnaodhani alionewa au vinginevyo ni kwa vile vitoto vile sio vyenu wala vya jamaa zenu au hamkukutana na katoto kamojawapo. Yule alifaa kunyongwa kabisa tusahau.
 
Tujiulize kwa nini Wamarekani na Waingereza ni wakali sana kwa masuala ya nyumba ndogo kama hizi kwa viongozi na mastaa wao. Usafi na uadilifu huanzia kwenye maisha binafsi ya mtu/kiongozi.

Sifa nyingine kubwa za wazinzi ni UONGO kuanzia ngazi ya familia, wizi na ulaji rushwa ili aweze kugharamia upuuzi huu.

Kwakweli Mbowe kakosea sana kama kiongozi! Sijui kwanini alikataa hizi zana?
 
Attachments

  • 1418821294458.jpg
    1418821294458.jpg
    53.7 KB · Views: 140
Yule Mcongo ni mshenzi kwelikweli. Alilawiti na kuharibu vitoto vidogo pale Sinza we acha tu.

Mnaodhani alionewa au vinginevyo ni kwa vile vitoto vile sio vyenu wala vya jamaa zenu au hamkukutana na katoto kamojawapo. Yule alifaa kunyongwa kabisa tusahau.
akili za kuambiwa changanya na za mumeo leta ushahidi acha porojo
 
Hiki ni kipimo cha ujinga wako, hilli jambo ni personal mfuate umueleze Mbowe malalamiko yako sio kulta ujinga hapa na ikkiwezekana mpeleke mahakamani kama amevunja sheria. Unashindwa kushughulikia maisha yako unakalia mambo ya kipu mbavu haya

Back
Top Bottom