Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Nchi yetu na utumishi wa umma hakuna tena maadili. Nyaraka binafsi za watu zinauza maandazi barabarani..
 
Du! Nimechelewa kuja kumbe kunamamba ya ajabu kiasi hichi mbowe kafanya kwenye hili taifa halafu wanajifanya watakatifu kumbe uzinzi kwenye chadema ni jadi du!
 
Mbowe hana sifa za kuwa Kiongozi ndani na nje ya Bunge!! Si msafi hata kidogo.
 
Sidhani kama ni matokeo ya uchaguzi ndo yameleta jaziba,ila nina wasiwasi mleta mada ni mtoto wa kufikia, ana Joto la hasira!
 
usitake kumpaka matope rais wewe, hawa jamaa wa CHADEMA wamezidi

Nani anampaka matope nani?Kama hujui uliza uambiwe.Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe,tunayajua mengikuhusu viongozi wa Chama Cha Mafisadi hivyo msiwe kimbelembele kutafuta mambo ya binafsi ya watu,mtoa mada mwenyewe siyo msafi.Ukiona unanyoosha kidole kwa mtu angalia vinakugeukia vingapi?

Na huwezi kumjuamtu ni mwizi kama wewe mwenyewe si Mwizi.Hivyo mleta mada anavitabia hivyo ndiyo maana yupo busy kutafuta maisha binfasi ya watu.
 
sitaki kujua kama kuna ukweli ndani yake ama la! Ila tatizo ni nini mpaka ulete mada hii? Kuna tatizo mwanaume kuzaa nje ya ndoa kama ameamua kufanya hivyo? Huyo mheshimiwa mkuu wa kaya ana watoto wangapi nje ya mke au wake zake halali? Umetumwa kupost au ni akili zako mwenyewe??.Inasikitisha sana.
Weka viambatisho maneno matupu ni porojo ndugu.
 
Unafuatilia vyeti vya wtt watu (mbowe) hunashughuli za kufanya?Tuambiwe km mwenyekiti wa chadema nini kafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Huo umbea wako hatuhutaji. Au ulitaka akuzalishe mfuate ---- ww
 
mbona mkuu wa kaya anao wengi na michepuko kibao/ sembuse Mbowe asiye na Tezi Dume
 
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685View attachment 211687

So what? Tatizo ni nini sasa? Sasa sisi tufanyaje? Twambie kama hilo limechangia kuliiza taifa ktk hasara ya mabilion ya "escrow". Wrong page!
 
Uchaguzi wa serikali ZA Mitaa umewachizisha wengi. Mleta thread nae kwisha. Hawa Ghasia msadie na huyu apumzishwe mirembe
 
Safi sana,ni jambo la kheri kuwa na mwenyekiti rijali especially kama hajawahi kufanyiwa operesheni tezi dume,ukitaka na ushahidi wa kimaandiko pia nitakupatia!
 
Nani anampaka matope nani?Kama hujui uliza uambiwe.Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe,tunayajua mengikuhusu viongozi wa Chama Cha Mafisadi hivyo msiwe kimbelembele kutafuta mambo ya binafsi ya watu,mtoa mada mwenyewe siyo msafi.Ukiona unanyoosha kidole kwa mtu angalia vinakugeukia vingapi?

Na huwezi kumjuamtu ni mwizi kama wewe mwenyewe si Mwizi.Hivyo mleta mada anavitabia hivyo ndiyo maana yupo busy kutafuta maisha binfasi ya watu.
Weka viambatisho mkuu porojo bila viambatisho ni bure chadema kwa maadili ya kipuuzi wamezidi tabia gani za hovyo hizi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti hiki chama au genge la wahuni.
 
Kabisa kabisa mkuu hiyo ni ndoano tu.

Mtoto wa Ndesamburo alipolwa mke na Mbowe, ila jamaa haku mind akaoa mke mtoto mdogo dogo hivi ila kwa sasa amenenepa, sijui kwanini wanapenda kupola wake za watu wakati wasichana wapo wengi tu mitaani ataweza kusoma IFM au CBE kulivyo na watoto wazuri si atazaa nao wote? Sijui kama condom anaijua.
 
Back
Top Bottom