johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano.
Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku akijiapiza safari hii hatakubali kuhujumiwa kama ilivyotokea pale Kibaha, Pwani.
Chanzo: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!