johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #41
Alikuwa ni mmoja wa mabepari wanaomiliki Chadema!Kwani baba wawili alikuwa Chadema?

Bwashee mbona wewe hujapuuza?!Unashabikia upuuzi ndo maana unapuuzwa siku hizi.
Kwani baba wawili alikuwa Chadema? Jibu swali sio kupiga makofi! Au ndio jitihada za kuchomoa matairi
Kama mna pesa za kununuwa wabunge na madiwani ni kwa nini pesa hizo msizipeleke kwa wajumbe wa Chadema ili wampigie kura Sumaye?Itapigwa figisu moja la kufa mtu Sumaye ni pandikizi la CCM, likatae hilo lizee. Subiri muone. Demokrasia ngumu sana kwa vitendo mtu asikwambie, kinadharia hapo sawa. [emoji4]
Kama mna pesa za kununuwa wabunge na madiwani ni kwa nini pesa hizo msizipeleke kwa wajumbe wa Chadema ili wampigie kura Sumaye?
Huyu mbowe ambaye ana wapinzani kwenye nafasi ya Uenyekiti na yule anayegombea peke yake na kupata kura100% bila hata kura moja kuharibika haya maigizo huwa mnafanyia nani?
kwahiyo sasa sie tufanyeje
Hayo ni maoni yako...huko pia wabunge na madiwani walihamia chama kingine......nani wa kupiga kura wa zamaniSumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Pamoja na Sifa Zote unazomwaga kwa Mzee Sumaye lakini cha msingi ni Kwamba wote wamerudisha fomu ofisi zikiwa wazi na fomu zao kupokelewa!Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Na asipo angushwa je ?Mbowe kutoangushwa kwa aibu ajitoe tu.Huu ni ushauri wangu wa bure
Mku Pascal kama kweli huko kuna demokrasia, hawezi pata kura 1. Sema tu anaweza asipate kura za kutosha. Mzee mwenye uzoefu katika utawalaChadema ina wenyewe, ila pia ni ruksa kujifurahisha!. Mtu umeisha kataliwa, bado unang'ang'ana?!.
Litapigwa zengwe kuwa huyu ni pandikizi wa CCM aliyetumwa kuiua Chedema, watatumia clip hii kuthibitisha tuhuma hizi, hivyo akipata kura, itakuwa ni kura 1 ya kwake!.
View attachment 1278449
P
Mkuu Kikiwo, subiria utaniambia.Mku Pascal kama kweli huko kuna demokrasia, hawezi pata kura 1. Sema tu anaweza asipate kura za kutosha. Mzee mwenye uzoefu katika utawala
Alafu kesho yake itahubiri demokrasia tena?Mkuu Kikiwo, subiria utaniambia.
P
HIVIII... kule aligombea kanda ya pwani tene peke yake yeye na GOLI. ameshindaje vileee??Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Wakati mwingine ndio stahili yenu. Kumbe ndio maana mwenyekiti wenu anawatukana hadharani! Mbona hamumwambii jenga hoja?jenga hoja bila matusi
jikite kwenye hojaWakati mwingine ndio stahili yenu. Kumbe ndio maana mwenyekiti wenu anawatukana hadharani! Mbona hamumwambii jenga hoja?
Umeandika kama lichawi fulaniSumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Dah! Nimeiangalia na kuisikiliza Clip...nakubaliana na wewe Sumaye anapoteza muda kugombea uenyekiti....hii ni Silaha tosha ya kumfurusha Chadema.Chadema ina wenyewe, ila pia ni ruksa kujifurahisha!. Mtu umeisha kataliwa, bado unang'ang'ana?!.
Litapigwa zengwe kuwa huyu ni pandikizi wa CCM aliyetumwa kuiua Chedema, watatumia clip hii kuthibitisha tuhuma hizi, hivyo akipata kura, itakuwa ni kura 1 ya kwake!.
View attachment 1278449
P
Hata wewe unaweza fafanuaHatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano.
Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku akijiapiza safari hii hatakubali kuhujumiwa kama ilivyotokea pale Kibaha, Pwani.
Chanzo: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!