johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kabisaakwahiyo sasa sie tufanyeje
Mkuu umetufungua macho, ubarikiwe!Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.

Mbowe kutoangushwa kwa aibu ajitoe tu.Huu ni ushauri wangu wa bureAngepita bila kupingwa ingependeza zaidi, au tumtengenezee mazingira Mbowe ajitoe?
Hivi kushindwa uchaguzi katika nchi ya kidemokrasia ni aibu?Mbowe kutoangushwa kwa aibu ajitoe tu.Huu ni ushauri wangu wa bure
Kaenda kaskazini kwenye uchaguzi kwa vile naye kama mbunge wa Hai ni mpiga kura.Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Uzuri Sumaye ameolea uchagani.......hapo sasa!Safi sana.Yaani msikate jina la Sumaye. Kama kweli mnasimamia demokrasia.
Wewe utaona Chadema watakachomfanyia.Uzuri Sumaye ameolea uchagani.......hapo sasa!
Mbowe alikuwa anabebwa na rip Ndesamburo.........safari hii kabakia Mtei pekee mzee Ndesa na baba wawili wa bonite hawapo!Wewe utaona Chadema watakachomfanyia.
(Special Purpose Vehicle (SPV)Chadema ina wenyewe, ila pia ni ruksa kujifurahisha!. Mtu umeisha kataliwa, bado unang'ang'ana?!.
Litapigwa zengwe kuwa huyu ni pandikizi wa CCM aliyetumwa kuiua Chedema, watatumia clip hii kuthibitisha tuhuma hizi, hivyo akipata kura, itakuwa ni kura 1 ya kwake!.
View attachment 1278449
P
Safi sana.Yaani msikate jina la Sumaye. Kama kweli mnasimamia demokrasia.