Walozi wamekutanaMkuu umetufungua macho, ubarikiwe!
Naona mazombie ya Lumumba mnabaďilishana mawazo juu ya Mbowe. Kuamini Sumaye kupita ni Ulozi
Wanamuogopa sana mzee Sumaye!Acha udikteta lofa wewe
Chadema ina wenyewe, ila pia ni ruksa kujifurahisha!. Mtu umeisha kataliwa, bado unang'ang'ana?!.
Litapigwa zengwe kuwa huyu ni pandikizi wa CCM aliyetumwa kuiua Chedema, watatumia clip hii kuthibitisha tuhuma hizi, hivyo akipata kura, itakuwa ni kura 1 ya kwake!.
View attachment 1278449
P
Uchaguzi wenu tumewaachia tuachieni huu wa kwetu kama mnamtaka Sumaye mchukueni.Acha udikteta lofa wewe
Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano.
Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku akijiapiza safari hii hatakubali kuhujumiwa kama ilivyotokea pale Kibaha, Pwani.
Source Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe hajafikisha miaka 60........Le mutuz ndio mzee!Kwa nini hujaanza Mzee Freeman Mbowe?
Sawa kabisa mchambuzi wa maswali ya Uchaguzi wa Chadema kwa kuwa wewe ni mpiga kura zote utabiri wako uko sawa CCM oyeeeeSumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Balance kidogo Mkuu...vipi JPM ALIHUDHURIA VIFO VILIVYOTOKANA NA HIYO MELI ?Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
[emoji2][emoji2][emoji2]
Hehehee wataiba kura, Mbowe ajitoee kabsa? Hilo jambo haliwezekani mkuu yaan ruzuku azile kwa macho tu?Mbowe kutoangushwa kwa aibu ajitoe tu.Huu ni ushauri wangu wa bure
Hiyo ndo demokrasia mnayoipigania.wanachadema wataamua.Sumaye afukuzwe kabla ya kukipeleka chama kuzimu
Sumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
[/QUOTE usenge *****
Mbowe atashinda hata kwa bao la mkonoSumaye anaenda kumbwaga Mbowe.Sumaye anaungwa mkono na wajumbe wengi wasiotoka Kilimanjaro.
Mbowe Kanda zingine hakwenda kuhudhuria chaguzi zao za mwenyekiti wa kanda ila Kanda ya kaskazini kaenda baada ya ku panick kuona wajumbe wa kanda ya kaskazini wa mikoa ya Arusha na Manyara kwao Sumaye wako na Sumaye ukiunganisha na wa kanda ya Pwani waliompa ugombea pekee unaona wazi kabisa Sumaye anaenda mbwaga chini Mbowe .Kanda ya Ziwa Mbowe hawamtaki sababu ule.msiba mkubwa wa Meli iliyoua maelefu hakwenda kule Hana chake kabisa.Nyanda za juu kusini huko anayemuunga mkono Ni Mchungaji msigwa na Sugu peke yao .Wajumbe wengine hawamtaki Mbowe.
Upepo wa ushindi kwa Sumaye uko wazi
Unashabikia upuuzi ndo maana unapuuzwa siku hizi.Mkuu umetufungua macho, ubarikiwe!
Kwani baba wawili alikuwa Chadema?Mbowe alikuwa anabebwa na rip Ndesamburo.........safari hii kabakia Mtei pekee mzee Ndesa na baba wawili wa bonite hawapo!