Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

KWELI CHADEMA BABA LAO haipiti sekunde bila kusikia jina hili.... Iwe ni kwa kurushiwa mawe, vidole, macho. Baba lao lipo tu.
 
Itapigwa figisu moja la kufa mtu Sumaye ni pandikizi la CCM, likatae hilo lizee. Subiri muone. Demokrasia ngumu sana kwa vitendo mtu asikwambie, kinadharia hapo sawa. 😊
 
Itapigwa figisu moja la kufa mtu Sumaye ni pandikizi la CCM, likatae hilo lizee. Subiri muone. Demokrasia ngumu sana kwa vitendo mtu asikwambie, kinadharia hapo sawa. [emoji4]
Kama mna pesa za kununuwa wabunge na madiwani ni kwa nini pesa hizo msizipeleke kwa wajumbe wa Chadema ili wampigie kura Sumaye?

Huyu mbowe ambaye ana wapinzani kwenye nafasi ya Uenyekiti na yule anayegombea peke yake na kupata kura100% bila hata kura moja kuharibika haya maigizo huwa mnafanyia nani?
 

Wanasiasa wote ni wale wale tu, tofauti rangi za nguo zao.. Umeelewa?
 
Hayo ni maoni yako...huko pia wabunge na madiwani walihamia chama kingine......nani wa kupiga kura wa zamani
 
Pamoja na Sifa Zote unazomwaga kwa Mzee Sumaye lakini cha msingi ni Kwamba wote wamerudisha fomu ofisi zikiwa wazi na fomu zao kupokelewa!
 
Mku Pascal kama kweli huko kuna demokrasia, hawezi pata kura 1. Sema tu anaweza asipate kura za kutosha. Mzee mwenye uzoefu katika utawala
 
HIVIII... kule aligombea kanda ya pwani tene peke yake yeye na GOLI. ameshindaje vileee??
 
Umeandika kama lichawi fulani
 
Dah! Nimeiangalia na kuisikiliza Clip...nakubaliana na wewe Sumaye anapoteza muda kugombea uenyekiti....hii ni Silaha tosha ya kumfurusha Chadema.
 
Hata wewe unaweza fafanua

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…